1. Heko kwa Azam kuwekeza kwenye kuonesha mpira.
2. Heko kwa Mohamed Dewji kuwekeza Simba.
Hawa wameleta mabadiliko makubwa ktk Mpira wetu. Mungu awaongezee utajiri.

Wakifika Yanga hata nusu fainal CAF tutasema, GSm bado hatujaona faida yake labda kwa Wana Yanga na sio kwa taifa.
Azam tv na Simba zimetangaza Taifa. #Nguvumoja.