Livinus Merchades Marliv
Member
- Feb 22, 2017
- 18
- 23
Ha haaaa..ok,subiria mapovu..
Hupenda kujificha kwenye migongo ya wengine..Kwani waoga na wasio jiamini wanakuwaje?
[emoji17] [emoji17] [emoji17]acha kukuchosha kalale
Lakini moderator anajua majina halisi pia.Wanaume waoga na wasiojiamini humu JF ni wale ambao majina yao halisi ni tofauti na username zao...
[emoji89] [emoji89] [emoji89]
Maoni yako ni lazima maana umo kwenye list [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Xmass njema
Toa mfanoWanaume waoga na wasiojiamini humu JF ni wale ambao majina yao halisi ni tofauti na username zao...
[emoji89] [emoji89] [emoji89]
Maoni yako ni lazima maana umo kwenye list [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Xmass njema