Ukweli usiosemwa kuhusu Israel

Ukweli usiosemwa kuhusu Israel

matinee

Member
Joined
Feb 21, 2020
Posts
22
Reaction score
20
Israel ni sehemu ya Afrika na watu waliokuwa wanaishi pale ni waafrika.

Namaanisha kwamba Africa ya leo imepatikana kwa kutenganishwa na mfereji uliochimbwa na mwanadamu Suezi Canal.

Hivyo basi Middle East ni North Africa. Pia Africa na the Middle East hatujatenganishwa na tectonic plate.

Israel ni North Africa na waliokuwa wanaishi pale ni waafrica ndo maana wakati wa mateso Simoni wa kureno alikuja kusaidia kubeba msalaba kwa ndugu yake Yesu kwa sababu wote ni bloodline moja ni Waafrica.
 
Kiuhalisia na kwa tafiti zote za Kisayansi, inaonesha asili ya wanadamu wote ni Afrika. Kuunganika kwa bara la Afrika na Mashariki ya kati kuliwezesha watu kutoka upande wa wa Kaskazini ya Afrika ya leo kuelekea kaskazini ambako ndiyo Mashariki ya kati.

Kutokana na mabadiliko makubwa ya hali ya hewa yaliyotokea kabla ya miaka 50,000 iliyopita, wanadamu taratibu waliweza kusafiri kuelekea Kaskazini. Na wengine hatimaye waliweza kuivuka bahari na kufikia maeneo ya Ulaya ya leo. Na kwa kadiri walivyokuwa wakiendelea kuishi mazingira mapya yenye hali ya hewa iliyokuwa tofauti na mazingira yao ya mwanzo, huku ikiwa vigumu kwa wakati huo kutengeneza mazingira ya joto au hata kujisitiri vizuri kuilinda miili yao, taratibu miili yao ilianza kubadilika ili kuendana na hali ya hewa ya mazingira mapya, ambayo ilikuwa ni ujenzi wa ngozi nene, light colour na nywele nyingi.
 
Israel ni sehemu ya Afrika na watu waliokuwa wanaishi pale ni waafrika.

Namaanisha kwamba Africa ya leo imepatikana kwa kutenganishwa na mfereji uliochimbwa na mwanadamu Suezi Canal.

Hivyo basi Middle East ni North Africa. Pia Africa na the Middle East hatujatenganishwa na tectonic plate.

Israel ni North Africa na waliokuwa wanaishi pale ni waafrica ndo maana wakati wa mateso Simoni wa kureno alikuja kusaidia kubeba msalaba kwa ndugu yake Yesu kwa sababu wote ni bloodline moja ni Waafrica.,Hongera kwa post yako lakini,mfereji wote uko ndani ya Misri na kaskazini mwa Mfereji kuna jangwa la Sinai ambalo liko Misri Afrika na ndiyo linapakana na ukanda wa Gaza.Hivyo Israel inapakana na Afrika.Siasa na watu wa Israel ndiyo vimeitenga Israel na Afrika na siyo mfereji wa Suez.
 
yaani tunapenda kujidanganya aisee... 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Hata Suleiman alikuwa mweusi 😁

Song of Solomon 1:5
[5]I am black, but comely, O ye daughters of Jerusalem, as the tents of Kedar, as the curtains of Solomon.

Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani.
 
Back
Top Bottom