Israel ni sehemu ya Afrika na watu waliokuwa wanaishi pale ni waafrika.
Namaanisha kwamba Africa ya leo imepatikana kwa kutenganishwa na mfereji uliochimbwa na mwanadamu Suezi Canal.
Hivyo basi Middle East ni North Africa. Pia Africa na the Middle East hatujatenganishwa na tectonic plate.
Israel ni North Africa na waliokuwa wanaishi pale ni waafrica ndo maana wakati wa mateso Simoni wa kureno alikuja kusaidia kubeba msalaba kwa ndugu yake Yesu kwa sababu wote ni bloodline moja ni Waafrica.
Israel ni sehemu ya Afrika na watu waliokuwa wanaishi pale ni waafrika.
Namaanisha kwamba Africa ya leo imepatikana kwa kutenganishwa na mfereji uliochimbwa na mwanadamu Suezi Canal.
Hivyo basi Middle East ni North Africa. Pia Africa na the Middle East hatujatenganishwa na tectonic plate.
Israel ni North Africa na waliokuwa wanaishi pale ni waafrica ndo maana wakati wa mateso Simoni wa kureno alikuja kusaidia kubeba msalaba kwa ndugu yake Yesu kwa sababu wote ni bloodline moja ni Waafrica.,Hongera kwa post yako lakini,mfereji wote uko ndani ya Misri na kaskazini mwa Mfereji kuna jangwa la Sinai ambalo liko Misri Afrika na ndiyo linapakana na ukanda wa Gaza.Hivyo Israel inapakana na Afrika.Siasa na watu wa Israel ndiyo vimeitenga Israel na Afrika na siyo mfereji wa Suez.