Ni sahihi dizaini ile ya TunisiaKwa taarifa tu wamesoma akili za watz na kuwagundua walivyo hakuna wa kuandama ila note my maneno
Maandamano yatakuja kuanza kama utani utani pasipo mipango ghafla tu kwa kisa ambacho hakitategemewa na utatokea ukatili wa kutisha.
Upo sahihi hata hao wahindi waliopo nchini unadhani wataandamana?hivi ni kwa nini waafrika huwaona waafrika wenzao tu na ndiyo foreigners na siyo wahindi, waarabu, wachina au hata wazungu? hapo kwenye wageni umetaja waafrika tu kongo, malawi nk lkn no irani, india, pakis, why ? …
Upo sahihi mkuu!Wengi wenu mnajitahidi kuamini kuwa tarehe 29 watz wataandamana, ila kiuhalisia haiwezekani kwasababu zifuatazo.
1- Idadi ya wageni waliopo Tz ni kubwa mno, yaani wakongo, warundi, wamalawi n.k. Hili kundi haliwezi kuandamana maana wapo nchini kwa hisani ya CCM.
2- Bado asilimia kubwa ya watz wapo vijijini hivyo hawajui yanayoendelea na asilimia chache iliopo mjini ndio wanajua.
3- Wengi bado wanaamini siasa sio vitu vyao.
4- Kuskiliziana, yaani kila mmoja anamsikilizia mwenzake aone kama ataandamana. Yaani nani alianzishe kutokana na woga.
5- Hofu ya kubambikwa kodi au makesi.
6- Wengi wanaamini wakiandamana watauwawa au kuumizwa hivyo kuziathiri familia zao, umaskini utawafuata.
Kiuhalisia hakuna wakuandamana hiyo tarehe 29, kama tu mashabiki wa mpira walishindwa kuzomea wanasiasa siku ya matamasha ndio ije kuwa kutoka front.
Sina lengo lakuwakatisha tamaa, ila hata jana mahakamani wananchi walishindwa kuwa na umoja.
#TIMEWILLTELL
Israel ilianza kuiambia Iran itaishambulia miaka 40 kabla ya kufanya hivyo , Iran wakawa wanapuuza Kuwa Israel ni kanchi kadogo hakana uwezoWengi wenu mnajitahidi kuamini kuwa tarehe 29 watz wataandamana, ila kiuhalisia haiwezekani kwasababu zifuatazo.
1- Idadi ya wageni waliopo Tz ni kubwa mno, yaani wakongo, warundi, wamalawi n.k. Hili kundi haliwezi kuandamana maana wapo nchini kwa hisani ya CCM.
2- Bado asilimia kubwa ya watz wapo vijijini hivyo hawajui yanayoendelea na asilimia chache iliopo mjini ndio wanajua.
3- Wengi bado wanaamini siasa sio vitu vyao.
4- Kuskiliziana, yaani kila mmoja anamsikilizia mwenzake aone kama ataandamana. Yaani nani alianzishe kutokana na woga.
5- Hofu ya kubambikwa kodi au makesi.
6- Wengi wanaamini wakiandamana watauwawa au kuumizwa hivyo kuziathiri familia zao, umaskini utawafuata.
Kiuhalisia hakuna wakuandamana hiyo tarehe 29, kama tu mashabiki wa mpira walishindwa kuzomea wanasiasa siku ya matamasha ndio ije kuwa kutoka front.
Sina lengo lakuwakatisha tamaa, ila hata jana mahakamani wananchi walishindwa kuwa na umoja.
#TIMEWILLTELL
😀 yaani kwa Tz bado sana. Imagine jana mahakamani, polisi wanamchangia mtu mmoja na wengine wote wamekaa wanarekodi huku wanalia.Israel ilianza kuiambia Iran itaishambulia miaka 40 kabla ya kufanya hivyo , Iran wakawa wanapuuza Kuwa Israel ni kanchi kadogo hakana uwezo
Siku waliyofanya hivyo Wairan wakashangaa imekuwaje watu wanajua kila nyumba kila chumba anachokaa kiongozi kumbe wenzao walikuwa wamemaanisha na wanajiandaa.
Hakuna kosa Serikali watafanya kama kuamini wanaweza kuwazuia watanzania wasiandamane.
Mimi niko mahali naona kabisa kama ikitokea Watu 100 pekee wakajaa sehemu Strategic au kwenda kwenye vituo vya kura kuvichoma au kufanya jambo lolote, basi nchi hii itaripuka ghafla bila kujiandaa.
Wazungu hawapuuzi kitu hata nukta ndio maana unaona kila siku wanagundua teknolojia mpya za kulinda nchi zao na uhuru wao
Makanisa ya Ngwaji yalifungiwa, kiko wapi? Lisu yuko ndani kwa makosa ya kubumba, kila mtu yupo busy na mambo yake. Mdude yuko wapi? Ikifika siku wewe MTz ukawa tayari kutenda haki bila kuombwa na mtu basi jua mabadiliko yako mbioni.Vitu vingi vilianza kama utani hadi vilivyokuwa serious,watu wanalalamika mnawapuuza,watu wanapotea mnapuuza,kodi mnapuuza.Kumbuka wananchi wanatunza tu hasira na jinsi chama kinavyoendela kuwa madarakani na ndio watu wanazidi kukasirika.Hata ikishindikana tarehe 29 niamimi mimi miaka ijayo kutakuja kutokea balaa
mjuba mbona kama unavitishia vyombo vya ulinzi na usalama viwe na tight security high pressure siku hiyo. Unaviathiri kisaikolojia vishindwe kuelewa wapiga kura na waandamanaji ni wapi hasa! Utawachanganya wachanganyikiweIsrael ilianza kuiambia Iran itaishambulia miaka 40 kabla ya kufanya hivyo , Iran wakawa wanapuuza Kuwa Israel ni kanchi kadogo hakana uwezo