Wanaomfuatilia Msigwa kwenye mitandao yake ni chini ya watu 100, unadhani yakitokea machafuko atayazuiaje kwa kuongea.mjuba mbona kama unavitishia vyombo vya ulinzi na usalama viwe na tight security high pressure siku hiyo. Unaviathiri kisaikolojia vishindwe kuelewa wapiga kura na waandamanaji ni wapi hasa! Utawachanganya wachanganyikiwe
mjuba usiitaje CHADEMAMtu anaewajua wanachama wa Chadema vizuri ni Mbowe, jamaa aliitisha maandamano mitandaoni akapata waungaji mkono wengi kinoma ila siku ya kuandamana ilivyofika achilia mbali kuandamana siku hiyo watu hata kazini hawakwenda wakajifungia ndani, mbowe akajikuta yuko barabarani yeye na binti yake Necole wawili tu nae akaishia kuwekwa lockup
Wafuasi wakawasha data wakaanza kupiga mikwara mitandaoni wanacoment "safari hii lazima tuue mtu, lazima tuue mtu" ila wakiskia hata sauti ya bajaji inakatiza nje wanajificha juu ya dari
Kuna mtu humu ndani alitoa njia ya kuzuia uchaguzi mojawapo ni kuvuruga zoezi la kupiga kura na hilo linawezekana sana nchi nzima.Usisababishe majeshi yote ya ulinzi na usalama yatoke na kutapakaa mitaani kulinda vituo vya kupiga kura visihujumiwe na haohao wapiga kura watakaojigeuza kuwa waandamanaji kuhujumu uchuguzi mzima uvurugike. Bora uchaguzi upite tuendelee na maisha kama kawaida. Watanzania hawana hulka za kuandamana na mambo ya fujo si jadi yao
Nitaje Nyumbu aumjuba usiitaje CHADEMA
😅 alianzaga Mange kuitisha yale yakipindi cha magu ikawa hola, akasusa mpaka hivi karibuni aliporudi tena kuhamasisha maandamano. Ila kiuhalisia anajua watz hawawezi andamana kama wakenya.Mtu anaewajua wanachama wa Chadema vizuri ni Mbowe, jamaa aliitisha maandamano mitandaoni akapata waungaji mkono wengi kinoma ila siku ya kuandamana ilivyofika achilia mbali kuandamana siku hiyo watu hata kazini hawakwenda wakajifungia ndani, mbowe akajikuta yuko barabarani yeye na binti yake Necole wawili tu nae akaishia kuwekwa lockup
Wafuasi wakawasha data wakaanza kupiga mikwara mitandaoni wanacoment "safari hii lazima tuue mtu, lazima tuue mtu" ila wakiskia hata sauti ya bajaji inakatiza nje wanajificha juu ya dari
Maandamano hayapangiwi tarehe raia wakichoka huwa wanatoka wenyewe bila kuambiwa, hii ya kupanga tarehe na kumjaza mtu mizuka ya uongo na kweli siyo rahisi kufanikiwa😅 alianzaga Mange kuitisha yale yakipindi cha magu ikawa hola, akasusa mpaka hivi karibuni aliporudi tena kuhamasisha maandamano. Ila kiuhalisia anajua watz hawawezi andamana kama wakenya.
kuandamana inawezekana ila tatizo ni, maadamano yana mlengo wa kisiasa ingekua labda ni kuadamana issue za kijamii hilo linawezekanaWengi wenu mnajitahidi kuamini kuwa tarehe 29 watz wataandamana, ila kiuhalisia haiwezekani kwasababu zifuatazo.
1- Idadi ya wageni waliopo Tz ni kubwa mno, yaani wakongo, warundi, wamalawi n.k. Hili kundi haliwezi kuandamana maana wapo nchini kwa hisani ya CCM.
2- Bado asilimia kubwa ya watz wapo vijijini hivyo hawajui yanayoendelea na asilimia chache iliopo mjini ndio wanajua.
3- Wengi bado wanaamini siasa sio vitu vyao.
4- Kuskiliziana, yaani kila mmoja anamsikilizia mwenzake aone kama ataandamana. Yaani nani alianzishe kutokana na woga.
5- Hofu ya kubambikwa kodi au makesi.
6- Wengi wanaamini wakiandamana watauwawa au kuumizwa hivyo kuziathiri familia zao, umaskini utawafuata.
Kiuhalisia hakuna wakuandamana hiyo tarehe 29, kama tu mashabiki wa mpira walishindwa kuzomea wanasiasa siku ya matamasha ndio ije kuwa kutoka front.
Sina lengo lakuwakatisha tamaa, ila hata jana mahakamani wananchi walishindwa kuwa na umoja.
#TIMEWILLTELL
Lakini boss kumbuka tangu tupate uhuru chama kikuu cha upinzani hakikuwahi kisusia uchaguzi kwa ajili ya reforms😅 alianzaga Mange kuitisha yale yakipindi cha magu ikawa hola, akasusa mpaka hivi karibuni aliporudi tena kuhamasisha maandamano. Ila kiuhalisia anajua watz hawawezi andamana kama wakenya.
....Wewe Huandamani, Yanakuhusuje ya Watakaoandama?.. 🤔Wengi wenu mnajitahidi kuamini kuwa tarehe 29 watz wataandamana, ila kiuhalisia haiwezekani kwasababu zifuatazo.
1- Idadi ya wageni waliopo Tz ni kubwa mno, yaani wakongo, warundi, wamalawi n.k. Hili kundi haliwezi kuandamana maana wapo nchini kwa hisani ya CCM.
2- Bado asilimia kubwa ya watz wapo vijijini hivyo hawajui yanayoendelea na asilimia chache iliopo mjini ndio wanajua.
3- Wengi bado wanaamini siasa sio vitu vyao.
4- Kuskiliziana, yaani kila mmoja anamsikilizia mwenzake aone kama ataandamana. Yaani nani alianzishe kutokana na woga.
5- Hofu ya kubambikwa kodi au makesi.
6- Wengi wanaamini wakiandamana watauwawa au kuumizwa hivyo kuziathiri familia zao, umaskini utawafuata.
Kiuhalisia hakuna wakuandamana hiyo tarehe 29, kama tu mashabiki wa mpira walishindwa kuzomea wanasiasa siku ya matamasha ndio ije kuwa kutoka front.
Sina lengo lakuwakatisha tamaa, ila hata jana mahakamani wananchi walishindwa kuwa na umoja.
#TIMEWILLTELL
Kwani kuna wanachama wa chama fulani wanafurahia rushwa na ufujaji wa mali za umma?kuandamana inawezekana ila tatizo ni, maadamano yana mlengo wa kisiasa ingekua labda ni kuadamana issue za kijamii hilo linawezekana
Nina swali kwako rahisi, wakati maandamano ya kudai katiba mpya yameitishwa wewe binafsi ulitoka?Lakini boss kumbuka tangu tupate uhuru chama kikuu cha upinzani hakikuwahi kisusia uchaguzi kwa ajili ya reforms
Lakini kama 2015 mzee magu alishinda kwa 50%+ na lowasa akapata 40%+ ni wazi kuwa nchi ina mitazamo mikubwa miwili
Sasa inapotokea karibu nusu ya raia hawashiriki uchaguzi hyo lazima ikupe redflag hiki kitu kwa usalama wa taifa kina tatizo na kwa kususia huku hata baadhi ya mashabiki wa ccm wanaweza wasishiriki kwan hawatakuwa na mwamko ukichilia mbali wana ccm kindakindaki
Tusiishi kwa mazoea boss tutazame mabo katika uhalisia
Sahihi kabisa!Maandamano hayapangiwi tarehe raia wakichoka huwa wanatoka wenyewe bila kuambiwa, hii ya kupanga tarehe na kumjaza mtu mizuka ya uongo na kweli siyo rahisi kufanikiwa