GE2025 Ukweli usioufahamu kuhusu wanaosema wataandamana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbona umeandika kwa hisia hivo mkuu 😀
 
Mbona umeandika kwa hisia hivo mkuu 😀
Nimeandika huku niko nafuta machozi kabisa kama ulijua vile.

Kaka taifa hili ccm wametuweza, chombo pekee ambacho angalau kinge play part kubwa kufanya hilo jambo tunaliotaka na chenyewe sasa hivi kimeshakuwa toilet paper ya mama Abdul na mwanae... siku watumwa mpaka waende kupokea wageni kisha wawapeleke wageni hao mpaka sebuleni kwa Abdul... nahisi hata Abdul huwa wanampigia salute japo hatujui ana cheo gan kwenye serikali hii.
 
Swali kwako, Mwl. Nyerere aliupataje uhuru wa Tanganyika?
 
Aliupigania kwa hudi na uvumba
Alichokifanya Mwl. Nyerere ni kuunganisha makundi yote mijini hadi vijijini. Kwahiyo hata sasa ili mfanikiwe kuitoa ccm mnapaswa kuunganisha watu kuanzia mijini hadi vijijini yaani awareness.
 
Makanisa ya Ngwaji yalifungiwa, kiko wapi? Lisu yuko ndani kwa makosa ya kubumba, kila mtu yupo busy na mambo yake. Mdude yuko wapi? Ikifika siku wewe MTz ukawa tayari kutenda haki bila kuombwa na mtu basi jua mabadiliko yako mbioni.
Mkuu kwa maandamano ya tar 29 ni ya Watz wote wapenda Haki. Na siyo ya Chadema.
 
Sio lazima kuandamana , tunaandamana kwa kutokuenda kupiga kula yani tunafanya mgomo baridi
 
What i see, katika hao wachache watakaoandamana kuna baadhi watafanyiwa vitendo ambavyo vitaamsha hisia hata za wasiokuwa na lengo la kuandamana wakiwashe kweli. Reaction ya polisi na jwtz kwa wananchi ikiwa negative moto utawaka

Solution: Vyombo vya dola viwe watazamaji tu wasi-react negative kwa wataoandamana kwa amani, vi-react kwa wataofanya fujo tu maana taasisi za kimataifa zote macho kwetu.
 
Alichokifanya Mwl. Nyerere ni kuunganisha makundi yote mijini hadi vijijini. Kwahiyo hata sasa ili mfanikiwe kuitoa ccm mnapaswa kuunganisha watu kuanzia mijini hadi vijijini yaani awareness.
Ccm wameroga watanzania wasiweze kuwa na social solidarity kama hiyo...

Unaanzaje kuunganisha watu kwa kusambaza awareness na wkati huyo unayemsambazia tu taarifa ni chawa wa Abdul au Makonda.

Kuna vipeperushi vipo vimeandaliwa, ila sijaona bado nafikiri vinatembea kwa siri sana.
 
Si umeona ww pia umekuwa na awareness, hata hao wengine wakipewa pia watakuwa na awareness.
 
Si umeona ww pia umekuwa na awareness, hata hao wengine wakipewa pia watakuwa na awareness.
Kwa hiyo tuendelee kupeana awareness sio?

Basi jitahidi kuwapa darasa Gen Z waliopo karibu yako mimi huku nawapa darasa kila nikikutana nao, japo ni risk sana maana kuna wengine babu na baba zao ni makada kindaki ndaki wa ccm.
 
Watanzania si kwamba hawawezi kuandama na sikama hawapo tayari kuandamana kwa hilo lisikuoe imani, sababu kuu kwa sasa itakayokwamisha maandamano ya tarehe 29 yasifanikiwe kama inavyotarajiwa ni kutokana wengi wawananchi hawapati taarifa sahihi yaani vyombo vyetu vya habari havitoi habari zisizowapendeza watawala

Leo hii kama TBC, UTV, ITV Radio One Clouds na vingine vyote kama wangekuwa katika taarifa zao walau mara moja kwa siku wanzungumzia maandamano ya tarehe 29 na sababu za maandamano hayo watu wengi wangetoka na mambo yangekuwa majubwa tofauti unavyofikiria, tatizo wengi wameziamini hizi media na serikali nao wameona ndio maana wanadhibiti ipasavyo.
 
Tuna zaidi ya wiki 5 kufika Oct 29.

Serikali inaendelea kufanya makosa.

1. Serikali imeanza ku promote maandamano.

Kuna watu walikuwa hawajui lakini kwa vitisho ambavyo serikali inavifanya ni kama promote maandamano kiana bila kujua. Hadi Oct 29 awareness itakuwa kubwa sana na lolote linaweza kutokea

2. Siku ya uchaguzi itakuwa vigumu kwa polisi ku deploy askari barabarani kuzuia waandamanaji at the same time wa deploy askari kwenye vituo vya kupigia kura. Kwa hiyo vituo vingi vitakuwa na askari mmoja. Watu watajifanya wanaenda kupiga kura, wanajikusanya kwenye vituo vya kupiga kura halafu wanaanza kuandama. Askari mmoja hawezi kuzuia watu 500. Ikitokea hivyi kwenye kila kituo askari watashindwa kujua waweke nguvu wapi waache wapi.

Taratibu makundi ya watu yataanza kuungana kituo kimoja na kingine na kusonga mbele (Kuadvance).

In short hili jambo limekaa vibaya. Bado tuna muda. Ni vyema viongozi waache kushupaza shingo.
 
Heche, cdm na maandanano ??!
Mbona hawahusiki na hili swala ? Unawaonea tu
 
Sababu nyingine kubwa zaidi ni Watanzania ni waoga kupita viwango au tu sio watu wa vurugu, hasa kwenye mambo yasiyowaathiri papo kwa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…