Dkt Mwijuma
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 205
- 607
Ni matumaini yangu hamjambo wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada, nimefanya utafiti karibu biashara zote kubwa na ndogo aisee my friend biashara haitaki usamalia.
Hakuna mfanyabiashara kafanikiwa bila kufanya uhuni, biashara zina uhuni mwingi sana, kuna jamaa ni tajiri mkubwa sana alikuwa ana duka la vifaa vya kielectronic
Jamaa alikuwa anachanganya mzigo OG na fake, alikuwa anaenda China kuchongewa subofer fake mfano anauza subofer za abooder zinakuwemo OG na fake za kuchonga humo humo ndani
Na hii unakuta mmenunua bidhaa moja kwenye duka moja ila ww yako inachoka mapema ya mwenzako inapeta
Kwenye mabaa pombe fekii ni nyingi sana, Simu ndio usiseme,, Nguo hapa ndio balaaa
Watu wanatafuta asali kuna jamaa wananunua asali Mpanda na Tabora kisha wanazitia maji na kuzipika
Maduka ya vifaa vya ujenzi Rangi, Cement nk yana vitu feki vingi sana,, ukienda dukan kuchukua rangi ukaikosa then mwenye duka akakuambia wanaweza kuchanganya kuwa makini sana kuna kupigwa hapo ww ulitaka Plascon ambayo inauzwa laki 2 na kitu utachanganyiwa Robbialac za laki na nusu
Hii iwafikie ma- interpreneur wote biashara haitaki usamalia utaanza na mtaji wa mil 6 baada ya mda utajikuta unarudi nyuma biashara za faida halali ni chache sana zinazokua