Inapendeza Sana kipenzi,na katika hizo ofisi 2 mbili moja iwe bakeryπ€π€π€Kazi ngumu sana ushazoea ukiamka unaenda kazini lazima ujipange upate kashughuli cha kufanya nje ya hapo baada ya kustaafu. Mama gwamaka mimi sipendi kustaafu kama sijajipanga lazima niwe na ofisi zaidi ya moja niwe nasimamia mwenyew
Nikutafuta pesa tuInapendeza Sana kipenzi,na katika hizo ofisi 2 mbili moja iwe bakeryπ€π€π€
Acha ufala na wewe mie nikapande bajaj ya nini wakati nipo na machine ya ukweli boxer 150...inapepea kama nini.πΉπΉπΉπΉ huyu atakuwa mzabzab alisema engineer π€£
Kama kawaida!Nikutafuta pesa tu
Nilipaliwa unajuaJamani!
Ni wewe bhana na pima maji yako πΉπΉπΉAcha ufala na wewe mie nikapande bajaj ya nini wakati nipo na machine ya ukweli boxer 150...inapepea kama nini.
Yeah nipp site hapa namtafutia level boss wangu....najenga nyumba kwa bei nafuu kabisa hasa ukiwa mwanamke basi nasimamia ujenzi buree kabisa muhimu uwe unakuja site umevaa crop top na leggings
Wewe ni chokambaya wa kwanza.ππππππ
Boraaa alivyo sema Da marry nyanya, sie wengine vitunguu, tunawatoa machozi wajaa.
Kila siku nasema, ukiona mwanaume JF kutwaa kuranda randa ktk nyuzi na comments holela, ni choka mbayaa.
Ma boss kubwa wako kimyaa na β¨οΈzao.
πππππ
Siulisema upo single juzi tu sasa why umefunga ndoa bila taharifa dada yangu,πMwenziooo nachekaaa hapaa, hadi machoziii.
Hadi sahivi, wanaume wa JF, boss ni mume wangu tyuh Mjep
Woiiiiiiiiih πππππ
Kwani bado haujapona?Shikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba.
Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu.
Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri ikiisha bila matatizo yeyote,mtoto wa Kiswahili nipo niliambiwa nipo kwaajili ya kutapeli wanaume,aaaaah wapi hata niliokutana nao ni makapuku tu, mwanaume gani nguo hafui,hanyooshi shati,ataninyoosha Mimi,
Humu najua wenye pesa wapo ila ni wachache mno.
Povu ruksa,ila matusi sitaki ,tutavirugana Maria nipo mejaa teleee
Haya kujeni
Wikend wapi mshangazi mwenye titi lakeNi wewe bhana na pima maji yako πΉπΉπΉ
Ushapanda bajaji tuonane hapa kwa mfuga mbwa au wewe unataka twende kiwanja kipi fundi ujenzi wanguβ¦!! πΉπΉπΉWikend wapi mshangazi mwenye titi lake
Jamani kusema ukweli ni ufala kumbe ππUshapanda bajaji tuonane hapa kwa mfuga mbwa au wewe unataka twende kiwanja kipi fundi ujenzi wanguβ¦!! πΉπΉπΉ
Ila marry falah sana yani nikikumbuka mbavu zaniuma..!! Matajiri wa JF bhana..!!π€£
Wataje basi leo πΉJamani kusema ukweli ni ufala kumbe ππ
Dadaaa unataka kunikimbiza humu ndaniππWataje basi leo πΉ
Usizingue sasa walipue makapuku hao.. π€£