Ukweli utabaki kuwa ukweli

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vawulensiiiiiiiii!!!
Uduguu taratibuu, kwani humu kuna ma kwapu kwapu?
Uwiiiiih
Mwachi anaboa kweli mtoto wa kiume gani hakazi..!! Kila muda anamjibu shit marry km kaibiwa danga lake 😏

Amuache Marry atupe ubuyu wambea tumumunye..!! 😹😹
 
Majiraniiiiiiiiii hukuuuuuu!!!
Nacheka km mwehu hapaaa!! Da Marry ulikutana na nini hikoo?

Sasa nawee ulitembea bila pocket money yakooo?
Unakwamaa wapiii? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo kwenye kipilipili sasa πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ‘Œ
Ila JF ina hekaheka sana..!!
 
Majiraniiiiiiiiii hukuuuuuu!!!
Nacheka km mwehu hapaaa!! Da Marry ulikutana na nini hikoo?

Sasa nawee ulitembea bila pocket money yakooo?
Unakwamaa wapiii? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dada Mimi sikuwa na hela, mbona sikuzote nasemaga ukweli ,ila nikikutana nae waivyo siku nyingine namsaidia, wamechoka kwakweli πŸ˜‚
 
😹😹😹😹😹😹 Dah!!
Nyie mbwaa njooni huku Siri zenu zimevuja kumbe mko choka mbaya..!!
Mwenziooo nachekaaa hapaa, hadi machoziii.
Hadi sahivi, wanaume wa JF, boss ni mume wangu tyuh Mjep

Woiiiiiiiiih πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwachi anaboa kweli mtoto wa kiume gani hakazi..!! Kila muda anamjibu shit marry km kaibiwa danga lake 😏

Amuache Marry atupe ubuyu wambea tumumunye..!! 😹😹
Mwachiii hampendi Da Marry toka mwanzo, sijui wamekwazana wapiii?
Au hataki mwenzie atambe JF. yaan hapa naona raha kusoma huu ubuyuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…