lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 276
- 574
Ukiona Umefika lle Hatua Ya Kuwa na Ujasiri Wa Kuukubali UKWELI Kwamba "Huyu Hanitaki", "Huyu Hanipendi" Huyu Hanihitaji" "Kwake sina Thamani" na "Amenichoka" Basi Ujue Umekomaa Kihisia. Nenda Kajinunulie PEPSI Ujipongeze, hiyo hatua ni kubwa sana na sio wengi ambao wameifikia🙏🏾.