Ukweli utakuwa huru daima

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Ukiona Umefika lle Hatua Ya Kuwa na Ujasiri Wa Kuukubali UKWELI Kwamba "Huyu Hanitaki", "Huyu Hanipendi" Huyu Hanihitaji" "Kwake sina Thamani" na "Amenichoka" Basi Ujue Umekomaa Kihisia. Nenda Kajinunulie PEPSI Ujipongeze, hiyo hatua ni kubwa sana na sio wengi ambao wameifikia🙏🏾.
 
Nipe hiyo 700 nikanywe kabisa iyo pepsi maana zimepanda kweli.siku hzi
 
Sio mara zote ukweli utakuweka huru

Ndio maana kwenye uislam Kuna situation tatu "3" tumeruhusiwa kudanganya
 
Pepsi yenyewe iwe ya baridi halafu Chupa ya zamani 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…