Mwenzenu tena basi oh mwenzenu sitaki oh mwenzenu tena basi sitaki ilinifanya nikakesha kama bundi nikatoboa oh sikulala one kali nikabamiza oh hata madem nikasau
aha nilishagombana chandi sana vurugu kwa pure math ehe mora wangu napo nikapiga one matata ila ila cha ajabu bumu sipati versity bye watoto wa mama salma bye