Ukweli wa Erick Kabendera ndio huu

Mna
Mnaangamiza nchi kwa kutaka wote tufikirie atakavyo bwana mkubwa. Ni ujinga mkubwa kuziba watu midomo wasiyatoe mawazo yao hasa waandishi wa habari. Kinachofanyika sasa ni hatari kwani kinawapa watu binafsi mamlaka juu ya wengine na kuwafanya wananchi wasiwe na pa kusemea mawazo yao kama yako tofauti na wenye mamlaka
 
You r so foolish..thats why you count on the way I write n not on contents, reasoning zero! may be cramming..
Foolishness starts from how you present your ideas, that’s why I realized I might be dealing with a nincompoop, and if so why should I waste my precious time? Hasta la visita el tipo que no piensa con la cabesa
 
Foolishness starts from how you present your ideas, that’s why I realized I might be dealing with a nincompoop, and if so why should I waste my precious time? Hasta la visita el tipo que no piensa con la cabesa
Akili ya hayawani tu ndio hushikilia vitu vidogo vidogo na kupumbazwa kujua lugha kama sifa, ilihali uwezo wa kufikiri ni sifuri..kichwa chako kimebeba kinyesi cha kuku.
 
Akili ya hayawani tu ndio hushikilia vitu vidogo vidogo na kupumbazwa kujua lugha kama sifa, ilihali uwezo wa kufikiri ni sifuri..kichwa chako kimebeba kinyesi cha kuku.
Sasa wewe hapo kama sio zezeta ni nani, maana hata logic thinking huna, hujui kujenga hoja unakalia matusi tu, kama sio uhayawani ni nini. Go back to school and learn civilization. Kwenda shule ni pamoja na kuelimika na kuwa mstaarabu sio kupayuka kwa kutukana as if umekulia uswahilini.
Yaani wewe ndio unadhihirisha kichwani mwako kumejaa ni nini, maana akili najua hazipo.
 
Kwa hiyo kumtukana rais na serikali siku hizi ndo kuhujumu uchumi na kutakatisha fedha?Guys are you out of your mind?
 
Nilitegemea kwa kuona kichwa cha habari kizito, kwamba utaandika facts.

Lakini naona innuendo, ignorance na speculations tu.
 
Hahaha lakini katika makosa aliyoshitakiwa hayo uliyotaja hayapo ndio tatizo, nahisi hata serikali ina ogopa kusema ukweli kama uliousema ndio ukweli.
 
Baada ya miaka kadhaa:Mahakama imemfutia mashitaka Kabendera baada ya DPP kutoa notice ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi!!!!

Wadau: daaaaaaah,Mungu yupo!
Kakiri makosa yake na mahakama imemtia hatiani amefutiwa shitaka moja tu!
 
Upo!
 
Umevurugwa sana dogo
In God we Trust
 
Kakiri makosa yake na mahakama imemtia hatiani amefutiwa shitaka moja tu!
Yes,ameona anaweza kuzungushwa mpaka JPM anatoka madarakani kuwa uchunguzi haujakamilika!Kukiri ili aachiwe huru nao ni uamuzi wa busara,haina maana ana hatia!
Tafakari!

Halafu uchunguzi ulikuwa bado haujakamilika kwa mujibu wa DPP!So mtu anapokiri kosa hata kama hajatenda anahesabiwa na mahakama kama amekutwa na hatia!Hakuna ushahidi uliomtia hatiani isipokuwa kukiri kwake!Nakuhakikishia kuwa kama kosa lake lingekuwa na dhamana asingekiri!
 
Sisi wenye ma PARA bado tunatukanwa iweje hawa wenye MAVIGO waone soo?
 
Kuna mambo Musiba aliwai kuyasemea kuhusu Kabendera…naomba mrejee!
 
Hapo Serikali imekuwa SMART. Haikutaka kumshtaki kwa content za makala zake bali imemshtaki kwa kuficha ukweli kwamba alikuwa analipwa kwa kuandika zile makala. Kwa kuwa alikuwa ana mshaharaa, PAYE ilikuwa inamhusu. Hakushtakiwa kwa kuichafua Nchi bali kwa kushindwa kulipa kodi mapato yatokanayo na usaliti wa kuichafua nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…