Ukweli wa Erick Kabendera ndio huu


Ndo unataka kusema nini haswa? Kuna haki kwenye nchi hii? Polisi iko huru? Mahakama ziko huru? Bunge liko huru?
 
Ungetuliza akili hili suala ungeliona kwa mtazamo mzuri zaidi!
Kifupi tu ni kuwa ndani ya awamu ya 5 kinachotakiwa ni hela (mahera)...
Lilianza kutumika lile genge la DAB kuteka na kushinikiza kupewa mahera (rejea vituko vya Manji, MO, n.k). Tathmini ilionesha kuwa mafanikio ni madogo sana ukilinganisha na idadi ya maadui!

Ndipo ikaonekana itumike loop hole ya kesi za ML na makubaliano maalum na ofisi ya DPP...
Mbinu ni zile zile... Unatekwa... Unaandaliwa mazingira ya ML. Yakikaa sawa unawekwa ndani huku wakisisitiza ukiri makosa, ulipe fidia na kuachwa huru! Wakishakula "RANSOM" yao wanakuachia huru!!
Between now and 2021 matukio ya "watu-wasiojulikana (serikali) kuhusika na utekaji na kudai fidia bila kufuata au kusubiria mkondo wa utoaji haki yatakithiri sana!!
Wengi watalipa ili kununua Uhuru wao! Na hata kama huna watakupa muda uendelee kutafuta uwapelekee "RANSOM" yao!

NB: Vyeo na umaarufu viliwasaidia sana kina Makamba Sr na Kinana. Walikuwa wahanga-tarajali (rejea kauli za makontena kwa mujibu wa HPolepole).

Tatizo ni kuwa Watanzania wengi hawana uwezo mkubwa wa kusoma alama za nyakati wenyewe hadi wasimuliwe simuliwe!
 
ujinga mtupu, swali sio amekosa au hajakosa swali ni kwanini alikamatwa na watu wasio julikana? na ni kwanini mwazo alishitakiwa kwa kutokuwa raia na badaye akageuziwa mashitaka ya uhujumu uchumi? jibuni kwanza hila halafu ndio tujadili mambo ya kumtukana huyo mwizi kutoka chato ICC inamsubili kwa hamu. asifikiri akilazimisha watu kukiri makosa ya kumbambikiwa kutafuta damu alizo mwaga.
 
Sikuwahi kamwe kumsikia huyu mtu mpaka siku alipokamatwa na kuandikwa kwenye ma headlines "mwanahabari za kiuchunguzi." Ndo nikajaribu kuanja huku na kule kutafuta na kujiiliza ni kitu gani huyu mtu alichochunguza?

Sikupata chochote. Zaidi nikakutana na uchambuzi wake mmoja kwenye gazeti la nje ambalo anadaiwa ni yeye kaandika akisema, pamoja na mambo mengine, January Makamba alivuliwa uwaziri baada ya kuonekana tishio kwa mahasimu wake wa siaisa za Urais baada ya kufanikisha kuondoa mifuko ya pastiki nchini akwa waziri wa mazingira!

Nikaona he is such a joke of a journalist.

Au labda nini sikijui, Kabendera kaandika nini cha kiuchunguzi? Gazeti gani?
 

Unawasem police hawa hawa ambao hadi leo hawajui alompiga risasi tundu lissu au police gani ? Yan hawa police walompiga risasi akwilina na kuwauzia kesi kina mbowe ni wa kuwaamini ? jaman ivi nyie ni waTanzania kweli ? Daah huwa sielewi kabisa yan na wala siji kuelewa hata kidogo, yan police wa Tanzania wanajua kuwajibika kweli ? Yan police hawa hawa ambao makonda alivamia clouds wakaambiwa na video wakaonyeshwa wakasema hawajamjua ni nani? police hawa hawa walosema hawamjui herry kisanduku aliemtolea bomba nape kitenge akaenda kuamulia ivi nyie jamaa mkishiba mnakuaga hamna akili kichwani si ndio ? The justice system in Tanzania is trash, yan with all the doings i dont trust the police system, yan ni kama kuna master wao mmoja wanaemtumikia na hata kama akikosea ni sawa na anaonekana yupo juu ya sheria.

Ngoja nkufundishe kitu, usiwe mbinafsi mkuu hizi mambo za mapindisho ya sheria na kuwauzia watu kesi za uhujumu uchumi zinaweza kukikuta hata kizazi chako wewe, hizi kelele wanazopiga watu zina faida kwa watu wote, sawa unaweza kuwa unaserve watawala ila are you also preparing a good future for you generation ? sababu usitambe saivi cause upo upande wa watawala siku regime ikichange wewe utakuwa ushafanch ila wanao cha moto watakiona na hapo ndio ishue ya ubinafsi wenu itakapoonekana sababu regime ilitokea ikachange na wenyewe watafanya upuuz kama wa watawala manake binadamu wanajisahau sana wakipewa madaraka, Yanachoniudh keshokutwa tu utayaona yanatia huruma kama nini na kugawa hela mtaan kama njugu. Hata mkuu huwa anabadilisha sauti anakuwa na sauti fulan soft ya kubembeleza 🤣🤣🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jambo la kheri ni kwamba amekiri kosa na kulipa nusu ya mzigo husika
 
Unachakutujuza zaidi nyuma ya pazia tafadhali funguka acha kujizungusha zungusha, unataka kutwambia kabendera ni nani zaidi ya tumjuavyo? alikuwa nanafanya nini zaidi ya uandishi wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ukishangaa hii basi sikia, kuna mwana upuuzi analindwa kinoma na commandos. Propaganda au upuuzi, call it what u desire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…