Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kauli ya kuwa Julius Nyerere aliwaambia, "Wavunje chama chao," Mzee Msekwa kamkusudia Abdul Sykes lakini kukosa ujasiri wa kulitaja jina la Abdul kwani jina hili kutajwa na kuhusishwa na TANU ilikuwa ni mwiko mkubwa.
Ilikuwa ni, "taboo."
An-nuur 7 April, 2021
Ilikuwa ni, "taboo."
An-nuur 7 April, 2021