humphrey busega
Member
- Aug 13, 2015
- 33
- 104
Inawezekana hizi awamu CCM waliziweka kimkakati sana. Pengine labda bila hizi awamu tungekua na katiba mpya. Pengine ndo maana wenye upeo sisiemu walileta awamu (taste tofauti) zitakazofanya watanzania waendelee kutawaliwa na sisiemu.
Naam inajulikana vizuri kwamba ili kifaranga kiendelee kuishi hapa duniani, huhitaji kupasua yai lake hili kitoke. Ukisaidia kupasua yai lake hili kitoke, hakichukui mda kinakufa.
Nilikua najiuliza why Hayati, the greatest Nyerere hakutaka katiba abadilishe kipindi kile, kumbe alitaka tuwe kama kifaranga. Yes, katiba inahitaji tuwe vifaranga otherwise tuta dance na hii ngoma pendwa ya sisi-emu tufanye hivi!!!!
Ni ayoo tu.