Tafiti ya kisayansi? ilikua published wapi?hii ni tafiti za kisayansi wadau.
Mwali umenichekesha na hii post yako, eti "kama mna hamu basi fanyeni"Umenyimwa alafu ndio ukaambiwa ukimshika mkono ham itaisha?
Maana kama watu hamtaki kufanya ham inatoka wapi tena?
kama hamtaki kufanya basi someni magazeti, na kama mna ham basi fanyeni.
Hahahahaha, mi nimeona kama contradiction:Mwali umenichekesha na hii post yako, eti "kama mna hamu basi fanyeni"
Kwa kushikana mikono tu ni kama 45 min, 'mnapona'Inaisha kwa muda gani?
Inaisha kwa muda gani?
Mmm! Me wa kwangu hatakagi hata kuguswa tukishalala, hilo zoezi kwangu gumu.
Mmm! Me wa kwangu hatakagi hata kuguswa tukishalala, hilo zoezi kwangu gumu.
inaelekea unapenda sana kale kamchezo weweMh! yataka moyo
Hahahahaha, mi nimeona kama contradiction:
amesema ukiwa na hamu lakini hutaki kufanya.
Mtu ukiwa na hamu si maana yake unataka?
Na kama hutaki kufanya si maana yake huna hamu?
Ukielewa hapo basi utajua cha kufanya in each circumstance
Kwa kushikana mikono tu ni kama 45 min, 'mnapona'
Kama mnashikana mikono na part zingine za mweili
inaweza kupunguka to 15 hadi 25 min before it is over
Sasa bora nimuangalie Gabrielle Union kwenye screen yangu!ni kweli ata kuangaliana tu inatosha
aaah no, mie idea yako sinunui. kama hatufanyi ni bora tukae mbali kabisa. hata kukaa faragha kama hatufanyi sipendi, iweje kukumbatiana! si ndo ataniua kabisa..........Wataalam wanashauri eti ukimpenda mtu na hamtaki kufanya kale kamchezo basi mkumbatiane na kushikana mikona na ham itaisha je kunaukweli?