ukweli wa kwa nini wafanyakazi wana kinyongo kwenda dodoma

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
wafanyakazi wengi hasa hasa wanaume wanasema mara ooh dodoma hakuna miundombinu, mara kuna vumbi, mara mji ni mdogo, mara eti hakuna bajeti ya kuhamia dodoma...hizo ni gereshat tu...sababu kuu ni kuwa wanajua dodoma bei ya supu ya pweza itakuwa juu kuliko dar
 
Bhuahahahahaha kwani hakuna chipsi yai dodoma?
 
Karibu Mende utazoea tu
 
Shida siyo hiyo unajua watu wanajifanya watu wa dar kumbe wametoka huku kwetu mwabayanda wakaenda dar. Kujifanya basi kuwa wajauaji kila wikendi kipepeo bichi Mara wako silipu wei uzuuungu mwingi omba omba wakawatimua kurudi kwao dodoma na sasa wanawafuata. Wengine tulikuwa tukija dar wanatuita wa mikoani ndo uanze kuwatoa dar waje dom mmmmmh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…