McFerson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,166
- 2,322
Wasalaaam.
Raisi SHH ataendelea kupasua kichwa juu ya viongozi wenzake mpaka pale atakapogundua kuwa serikali anayoiongoza asilimia kubwa ya watendaji wenye maamuzi makubwa ni wa kurithi kutoka serikali iliyopita.
Afanye nini?
1. Aunde baraza lake la mawaziri jipya na apige chini wanasiasa ambao hawaelewi kwenye goals zake.
2. Kama magufuli alivyoweka mkono wake kwenye mhimili wa Bunge,na yeye afanye hivyo ili kuhakikisha anaongoza bila stress.
3. Aangalie pale kwenye kikwazo kwa manufaa ya nchi na serikali yake apangue na kuweka safu yake.
Hivyo yaani.