Ukweli wa mambo kuhusu madawa ya kupanga uzazi

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
277
MPO?

Karibia kila kitu kina uzuri na ubaya wake.

Madawa ya kupanga uzazi yana mazuri yake ambayo kila siku tunayasikia.Lakini mbona hatuelezwi ubaya wake?

Ni ukweli japo wanaukataa kuwa MKE wangu akitumia madawa ya kupanga uzazi anaishiwa na hamu ya kufanya mapenzi.

Ni maoni yangu binafsi ama mnaonaje wadau?
 
ni kweli kuna madhara yake ingawa watu huwa tunashindwa uelewa
 
Kweli kabisa..hali ya kukosa hamu ya tendo ni moja ya madhara ya uzazi wa mpango! Yaliwahi nipata kwenye ndoa yangu hvo muelewe tu mwenzio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…