Nasdaq
Member
- Sep 22, 2024
- 17
- 45
Kuna hii discussion ya goli la mama ambapo hatujui hela zinatoka wapi ila tunajua anatoa mama but guess what kama wewe ni mtu unayefuatilia hizi press comference za Ahmed Ally, Ally Kamwe na Hashim hasa za kuhamasisha watu waje kwenye mechi za stars kuna kitu lazima umekiwaza
Nini kilitokea: walimpigia msigwa simu live kumwuliza kama mama atatoa hela ya goli la mama iwapo stars itashinda Msigwa akajibu on the sport atatoa PLUS hili la Simba, Yanga na Azam kutoa hela
MY thought: Hela za goli la mama ni either zinatoka wizara ya michezo na mama hahusiki na halikuwa wazo lake or hazitoki serikalini kabisa but matajiri wa mjini wanazitoa kuprove their loyalty
Nini mtazamo wako kuhusu goli la mama