Ukweli wa somo la historia nchi Tanzania na Afrika

Ukweli wa somo la historia nchi Tanzania na Afrika

wamba the great

New Member
Joined
May 10, 2021
Posts
2
Reaction score
2
Afrika nzima inasoma mambo yaliyoandikwa na mzungu

Yasiyo zingatia ukweli wa historia halisi je ni sawa watoto wetu kuendelea nkuwaita wapinga ukoloni kuwa waasi?hapanalaIma tuwaze upya ndugu zangu

Waziri wa elimu na tamisemi mnajambo la kuwaambia watanzania ukweli wa haya

Pia urithi wa ukoloni yatosha tusonge kwa lugha yetu Afrika kwa ajili ya waafrika pia
 
Sawa kabisa - ila ushindi wa Kiswahili hadi leo ni pia urithi wa ukoloni. Wakoloni Wajerumani walihitaji wenyeji kuwsaidia utawala kama makalimani, maakida na askari - Waswahili hao waliokuwa tayari na uzoefu wa kuandika (maana wakoloni Wajerumani hawakupenda wanafunzi wa shule za wamisionari).....

Halafu Wajerumani walitumia Kiswahili kama lugha ya utawala kote - wananchi walipaswa kuijifunza angalau kidogo. Walibadilisha mwandiko wake kutoka herufi za Kiarabu kwenda herufi za Kilatini (kama hapa).
Waingereza waliendelea baadaye kusanifisha lugha wakateua lahaja ya Unguja kama msingi (si Kimvita, si Kiamu).
Na wewe unafuata maazimio yao jinsi unavyoandika!
 
Back
Top Bottom