Ukweli wa ushirikina katika mpira. Upo na unafanya kazi.

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Simba leo ilikuwa waondoke. Na aliyekuwa awaondoe ni mzee wetu mmoja wa hapa hapa Tz tena Dar.

Wale makomandoo waliozuia watu wetu wasiingie Taifa tutawatafuta tu tuwachape kama mlivyowachapa watu wetu.

Hassan kessy na jamaa zake watatu toka zambia ndio ambao tuliwapeleka kwa mzee wetu ambaye huwa anatusaidia sana yanga. Huyu mzee amekuwa akitupatia yanga ushindi ingawa hatuna mpira wa kuvutia.

Wale we washenzi wa simba wametupigia watu wetu ambao ilikuwa wakatengeneze uwanja.matokeo yake huku mjini hakukaliki sasa.

Makambo alipelekwa alikopelekwa mchezaji flani wa yanga ambaye kwa sasa yupo azam.mnakumbuka hata mzee akilimali alilisema hili. Mwinyi zahera ana mganga wake katoka naye congo ambaye anashirikiana na mwingine ambaye yupo hapo morogoro.

Nyie mikia msitegemee kuchukua ubingwa wa ligi maana sisi tunacheza hadi mechi zenu mbwa nyie.tunahakikisha mnafungwa au kutoa draw ili mpotee kimpira.

Sisi hatuvutii lakini allahamdulilah ushindi twapata.na usajili wetu huu huu wa bei chee ..sasa mje kwenye viporo muone mtakavyoharibu.
 
Pole Sana Kwa Matokeo
Leo Simba Kashinda Vema
Barani Africa Ni Tanzania Tu
A220 - 300 Imetua Nchini
 
Kama unaamini kwenye ushirikina naomba utuondolee madarakani jamaa flani huku mtaani kwetu amekaa madarakani zaidi ya miaka 20 lkn bado yumo tu!
 
Wewe ni mkia huna lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…