Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Mimi nithibitishe Mara ngapi nataka wewe usiye amini ndio maana nimekuwekea hapo ufanye kwa vitendo uamin
Hujathibitisha

Njoo tupige picha hapa kwenye bafu langu la juu lenye Cologne 100 analolijua Valentina uuhakikishie ulimwengu kwamba uchawi wako unafanya kzi na umekuwezesha kuinbia nyumbani kwaKiranga bila kutumia ufunguo wala kuvunja ingawa milango ote imefungwa.

Sent from my SM-T310 using JamiiForums mobile app
 
Hapana.

Akili yako legelege tu, hata ukiwa challenged unaona umepewa maneno yasiyo staha.

Staha is overrated. Baba yako angemstahi mama yako sana usingekuwepo kuongelea staha wewe.

Hujajibu niliyokuuliza, uliyojibu sijakuuliza.

Sent from my SM-T310 using JamiiForums mobile app
 

Relax bro, this is not death or life.. Its just a thread at JF! Kuhusu ku prove , wewe ndo unatakiwa kuprove coz ndio unadai Mungu hayupo. He who alleges must prove
 
Mbavu zangu[emoji23]

Definition ya "Staha" ni nini?
 

Kwanini asiweze kuumba ulimwengu kama huu hali ya kuwa ana sifa ya kuwa na uwezo wote?
 
Ndo mana nlikuaga najiuliza kwann hawaend juani kila siku mwenzin tu kumbe majibu ndo ayaa...
 
Kwanini asiweze kuumba ulimwengu kama huu hali ya kuwa ana sifa ya kuwa na uwezo wote?
Kwa sababu sifa ya uwezo wote haimaanishi kuweza kufanya contradiction.

Ikiwa hivyo, sifa ya uwezo wote haitakuwa na tofauti na sifa ya kutoweza chochote na habari nzima itakosa maana.
 
Relax bro, this is not death or life.. Its just a thread at JF! Kuhusu ku prove , wewe ndo unatakiwa kuprove coz ndio unadai Mungu hayupo. He who alleges must prove
I am relaxed already.

Aliyeanza kuongelea habari ya ukweli wa kuwepo mungu ndiye ame allege kwamba mungu yupo.

Yeye ndiye anayetakiwa ku prove kwamba mungu yupo.

Mimi natakiwa kuomba proof tu.

Zaidi, nimeeleza kwamba mungu wenu kuwapo ni contradiction kama pembetatu duara.

Unachosema hapo ni kama vile mimi nimesema pembetatu duara halipo, kama lipo nioneshe lipoje, halafu wewe unaniambia nikuoeshe kwamba pembetatu duara halipo.

Sasa mimi nakuambia pembetatu duara halipo, na siwezi kukuonesha kwamba halipo, kwa sababu halipo.

Wewe unaniambia nikuoneshe pembe tatu duara kwamba halipo!

Hilarious.
 
Kuamini ni kukubali kitu kabla ya kuhakiki kwa stadi zinazotakiwa.

Kujua ni kukubali kitu baada ya kuhakiki kwa stadi hizo.
Nitolee mifano ya vitu unavyovijua kisha ueleze uhakiki uliyoufanya kwa stadi zinazotakiwa hadi ukapata hiyo sifa ya kuwa unavijua hivyo vitu.
 
Kwa sababu sifa ya uwezo wote haimaanishi kuweza kufanya contradiction.

Ikiwa hivyo, sifa ya uwezo wote haitakuwa na tofauti na sifa ya kutoweza chochote na habari nzima itakosa maana.
Haya eleza huo uwezo wote una maana gani?
 
Nadharia yako inataka kuonyesha kua during the night God can not see us, because He's abcent.

Onky devil runs the world at night.
Mchana ni wakati wa Sir God.

Of cause aendaye mchana hajikwai. Neither can you.
Nyota yenye kung'aa ya asubuhi.

Bado natafakuro ulifanyaje utafiti.
Wajapan wana abudu Jua.

Jumapili inaitwa. Sun [emoji118] [emoji274] day. Siku ya Jua
 
Mwenyezi mungu hafanani na chochote ktk fikra za kibinaadamu...kwako ni just immagination...hakuzaa wala hakuzaliwa.....uwepo wa mwenyezimungu ni wa ardhi na mbingu pamoja na vitu vilivyomo... kamwe hautofikia suluhu ya kutuaminisha juu ya hilo.....kuna waliotangulia walijaribu mara trilions ya fokra zako,lakini wameshindwa......
 
Haya eleza huo uwezo wote una maana gani?
Uwezo wote una maana uwezo wote, haumaanishi uwezo nusu au uwezo usio wote au uwezo unaoweza kujipinga wenyewe.

Ukisema mungu ana uwezo wote, nikakuuliza anaweza kuumba jiwe zito kabisa kiasi kwamba ashindwe kulibeba, utasemaje?

Anaweza kuumba jiwe hilo?

Akiweza kuliumba si atakuwa kashindwa kulibeba na hivyo hatakuwa hana uwezo wote?

Ukisema hawezi kuliumba, je ni kweli ana uwezo wote?

Hiyo dhana yenyewe tu ya mungu mwenye uwezo wote inaonesha mapungufu ya kimantiki, kwa sababu inaleta logical contradictions.

Ni kitu cha kufikirika ambacho hakipo katika uhalisi.
 
Sasa kama mungu hafanani na chochote katika fikra za kibinadanu wewe umejuaje kwamba yupo?

Umetumia fikra gani zisizo za kibinadamu kujua mungu yupo?

Na kama wewe umeweza kuzitumia fikra hizo kwa nini hazijawa za kibinadamu tayari?

Unaweza kuhakikisha mungu yupo?
 
Uwepo wa mungu ni imani kaka,kwa mwenye kuamini..kulingana na imani ya mtu....naamini kwa mujibu wa muongozo wa kitabu cha imani yangu....sijamfananisha na chochote,ndio imani yng...
 
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…