Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

If you can't show how this is nonsense, dismissing it summarily is even bigger nonsense.

It should be very easy to show that nonsense is nonsense.

The fact that you are failing to show so casts doubt on your summary judgement.

Can you prove that this god of yours exists?
 
We are not in a court room..ur so selfish bro. U want to impose ur faith to everyone...
 
Kushindwa si uwezo. Kama kushindwa itakuwa ni uwezo basi hiyo hoja kwamba kama anaweza kuumba jiwe kubwa na akashindwa kulibeba, endapo akifanya hivyo basi haitokuwa kajipinga bali atakuwa ameweza kufanya hivyo.
 
We are not in a court room..ur so selfish bro. U want to impose ur faith to everyone...
If atheism is faith, then baldhead is a hairstyle.

I have never imposed my faith. I do not have one. I have never told anyone to leave their faith. I merely question illogic.

In your mind, the only place we should use logic is in a courtroom.

No wonder you believe in a god you don't even understand.
 
Kushindwa si uwezo. Kama kushindwa itakuwa ni uwezo basi hiyo hoja kwamba kama anaweza kuumba jiwe kubwa na akashindwa kulibeba, endapo akifanya hivyo basi haitokuwa kajipinga bali atakuwa ameweza kufanya hivyo.
Nani kasema kushindwa ni uwezo?
Wapi hapo?

Unaweza kunukuu tupajadili?
 
Ki

Kwa vyovyote vile ambavyo umetumia stadi inayotakiwa.
Kitu hakiwezi kuwa kweli kama kina contradiction.

Kwa mfano. Katika Euclidean geometry, tunajua kwamba pembetatu si duara. Pembetatu ni tofauti na duara. Duara ni tofauti na pembetatu. Kitu hakiwezi kuwa pembetatu, halafu hapo hapo kikawa duara.

Kwa hiyo, ukiniambia "hii ni pembetatu ambayo pia ni duara wakati huo huo", nitajua hilo si kweli.

Hili unakubali au unakataa?
 
Nani kasema kushindwa ni uwezo?
Wapi hapo?

Unaweza kunukuu tupajadili?
Kwani we suala la kuweza kuumba jiwe na kushindwa kulibeba iliingiaje wakati unaeleza maana ya uwezo wote? Maelezo yako yalikuwa yanapinga hiyo sifa ya uwezo wrote na ndiyo maana ukaleta hoja ya kuumba jiwe la kushindwa kulibeba.
 
Mungu mwenye uwezo wote anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi ashindwe kulibeba?

Hujajibu swali.

Anaweza? Au hawezi?
 
Su
Suala hapa si Mimi kukubalia au kukataa,we endelea.
 
Mungu mwenye uwezo wote anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi ashindwe kulibeba?

Hujajibu swali.

Anaweza? Au hawezi?
Hili swali lako linahusiana vp na suala la mungu kuwa na uwezo wote? Maana inaweza ikawa ni nje kabisa na mada hebu fafanua sio tena baadaye unakuja kusema sijasema hivi Mara vile.
 
Nimesema
Unajua bro we mi nimekustukia toka long time..we unafanya research kiujanjaujanja...acha hizo bro.unawakwaza watu
 
Nimesema

Unajua bro we mi nimekustukia toka long time..we unafanya research kiujanjaujanja...acha hizo bro.unawakwaza watu
Hujajibu maswali yaliyoulizwa.

Mtu anayeuliza maswali ya wazi utasemaje anafanya research kiujanja ujanja?

Unanja ujanja unatokea wapi hapa?

Ninaowakwaza ni kina nani? Kwa nini?

Kwa nini wewe ambaye nakuuliza maswali hutaki kuyajibu unayaruka tu hujioni kwamba unanikwaza mimi?
 
Mungu mwenye uwezo wote anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi ashindwe kulibeba?

Hujajibu swali.

Anaweza? Au hawezi?
Kila kitu kimeumbwa na Mungu hakuna asicho na uwezo nacho. Mfano;
Vimondo (astroid) vikubwa vinavyokuja katika uso wa dunia yetu vinavyoweza kuleta maafa kwa nini vinaishia kuelekea inje ya sayari yetu na kutuacha salama?
Jua (sun) kwanini miale ya sumu inayotemwa kuungua kwenye jua inachujwa ktk hewa mgando (ozone lay) haitufikii katika sayari yetu ulinzi tunaupata wapi?
 
Naomba unipe majina yako matatu lakini ntachokifanya sina uwezo wa kukiondosha kwako na Mungu atanisamehe ntakuwa nimetumia uchawi kufundisha sitokuwa na dhambi.
In box majina yako 3 ndani ya 24hrs majibu utayaona
 
Kuamini ni kukubali kitu kabla ya kuhakiki kwa stadi zinazotakiwa.

Kujua ni kukubali kitu baada ya kuhakiki kwa stadi hizo.
Wewe hauna uhakiki wowote hakuna research uliyoifanya umejifunza mambo ukubwani usiwaaminishe watu uongo Nipe utafiti uliofanya ukaamini Mungu hayupo?
 
Kwa sababu sifa ya uwezo wote haimaanishi kuweza kufanya contradiction.

Ikiwa hivyo, sifa ya uwezo wote haitakuwa na tofauti na sifa ya kutoweza chochote na habari nzima itakosa maana.
Sifa ya uwezo ni kufanya hakuna afanyae anaweza kushindwa kuharibu Kutokuamini hulka ya mwanadamu kutokuamini kwako hakuondoi ukweli uliopo
 
Sijamfananisha Mwenyezi Mungu na chochote maana Mungu ni roho ya utukufu isiyoonekana wala hafananishwi na chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…