Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Mungu ametupa akili lakini wengi wameshindwa kuzitumia hakuna aliye fichwa uwepo wa Mungu ni ujinga wa makusudi kujitoa ufahamu wa kutomjua Mungu huku unaishi dunia ambayo kila kitu ni bure.
 
Ni mwenye ufinyu wa fikila tu ambaye ubongo wake hauwezi kung'amua uwepo na ukuu wa Mungu
 
Since kwamba ni sayansi... na science demands proofs... na proof zako ni za kusadikika... Mungu hachunguziki
 
Hizi ndio akili za kibinadamu, sayansi haiwezi leta majibu juu ya Mungu pale alipo.
Soma Bible yako vizuri.

Isaya 6: 1-7. Isaya anasema;

1. Na katka mwaka rule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu sana na kuinuliwa sana, na pindo la vazi lake likaijaza hekalu.

2. Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikua na mabawa sita;
Kwa mawili alifunika uso wake na kwa mawili alifunika alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka.

3. Wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni Bwana wa majeshi; dunia yote imejaa utukufu wake.

4. Na Misingi ya vizingiti ikatikisika kwa sababu ya sauti yake aliyelia, nayo NYUMBA ikajaa moshi.

Soma biblia yako Vizuri
Labda nikwambie, Sayansi haitakupa majibu halisi.

Ukisoma katika unaona jinsi makazi ya Mungu yalivyo.
 
Bangi mbaya sana aisee,
Hasa ukiwa unavuta pamoja na Afande Sele
 
Since kwamba ni sayansi... na science demands proofs... na proof zako ni za kusadikika... Mungu hachunguziki
Mkuu lakini tumepewa akili za nini ?
Mungu ametuumba akatuacha ktk moja ya sehem tunapo paita dunia lakini alituachia challenge ni jinsi gani tuishi na tumtafte ukisema hachunguziki si kweli!
 
Mkuu nimesoma Bible na nimejifunza sayansi na kudiliki kufanya vitu na matokeo nimeyapata sana Soma: 1Timotheo 6:16
 
Bangi mbaya sana aisee,
Hasa ukiwa unavuta pamoja na Afande Sele
Mkuu pingana na Mimi kwa hoja si kubeza waafrika tuna matatizo ulicho kalilishwa huwezi kuongea chako. Akili za kuambiwa changanya na zako ndio maana tuna ma professors na doctors uchwara hata mfano mdogo ni wewe hata usome hauwezi kubadirika.
Labda ufe ukazaliwe ulaya ndio unaweza badirika
 
1 TIMOTHEO 6:16 AMBAYE YEYE PEKE YAKE HAPATIKANI NA MAUTI, AMEKAA KATIKA NURU ISIYOWEZA KUKARIBIWA; WALA HAKUNA MWANADAMU ALIYEMWONA WALA AWEZAYE KUMWONA. HESHIMA NA UWEZA UNA YEYE HATA MILELE.AMINA.
 
umejitahidi sana kutumia akili yako ya kibinadamu kwa kile unachokiamini wewe lakini bado maandiko uliyotumia bado hayaendani na mtizamo wako ,Mambo haya yako nje ya uwezo wetu nikushauri tu uendelee kudumu katika kumtafuta Mungu kiroho na si kimwili kinachoonekana hapa wewe unamtafuta Mungu kimwili na si kiroho .Na haya majibu yatakufanya upoteze muda mwingi sana na hutapata majibu kwani hata Biblia haina majibu ya maswali yako ,mambo ya Mungu tumwachie Mungu
 
ILA KWA HILO FUNGU LA I TIMOTHEO 6:16 WALAU NIMEANZA KUKUKUBALI ONGEZEA NA FUNGU LINGINE NINAWEZA KUKUKUBALI WALAU SASA UMETOA FUNGU AMBALOLINAWEZA KUSHABIHIANA NA HOJA YAKO
 
1 TIMOTHEO 6:16 AMBAYE YEYE PEKE YAKE HAPATIKANI NA MAUTI, AMEKAA KATIKA NURU ISIYOWEZA KUKARIBIWA; WALA HAKUNA MWANADAMU ALIYEMWONA WALA AWEZAYE KUMWONA. HESHIMA NA UWEZA UNA YEYE HATA MILELE.AMINA.
Soma: kutoka 20: na 21
 
Mkuu Mungu si kiumbe Mungu ni Roho ni Nuru ing'aayo kama umefatilia mada yangu hata kisayansi bado majibu ya kumkataa Mungu hayawezekani! Kwa mfano: Sayansi Kuna hewa ya ukanda ya mgandamizo (ozone layer) Inachuja miale ya sumu inayotemwa na jua isitufikie duniani je ni nani ametengeneza hilo! bila shaka ni Mungu.
Kuna vimondo (astroid) vikubwa zaidi ya dunia kutoka anga (universe) ya mbali huja kuelekea dunia yetu lakini huvutwa ktk sayari ya Jupiter na kuiacha dunia yetu salama Mungu anatenda.
Mungu hajatuficha kitu tatizo tuna mazoea ya kugusa ndio tuamini Mungu yupo wazi.
 
 
ILA KWA HILO FUNGU LA I TIMOTHEO 6:16 WALAU NIMEANZA KUKUKUBALI ONGEZEA NA FUNGU LINGINE NINAWEZA KUKUKUBALI WALAU SASA UMETOA FUNGU AMBALOLINAWEZA KUSHABIHIANA NA HOJA YAKO
Kutoka 3:2-5 na 19:15-21
 
nasema hvyo kwasababu kuna watu wanataka kujua uwepo wa mungu
Uwepo wa Mungu ni suala linaloonekana wazi hata ki sayansi ila Mungu ni roho hawezi kuonekana kwa macho ya kibinadam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…