Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
Mungu ana uwezo wote?Hili swali lako linahusiana vp na suala la mungu kuwa na uwezo wote? Maana inaweza ikawa ni nje kabisa na mada hebu fafanua sio tena baadaye unakuja kusema sijasema hivi Mara vile.
Hujajibu swali lililoulizwa na kama kuna swali umejibu, si lililoulizwa.Kila kitu kimeumbwa na Mungu hakuna asicho na uwezo nacho. Mfano;
Vimondo (astroid) vikubwa vinavyokuja katika uso wa dunia yetu vinavyoweza kuleta maafa kwa nini vinaishia kuelekea inje ya sayari yetu na kutuacha salama?
Jua (sun) kwanini miale ya sumu inayotemwa kuungua kwenye jua inachujwa ktk hewa mgando (ozone lay) haitufikii katika sayari yetu ulinzi tunaupata wapi?
Majina yangu matatu ni Kiranga Ngeda Sangala.Naomba unipe majina yako matatu lakini ntachokifanya sina uwezo wa kukiondosha kwako na Mungu atanisamehe ntakuwa nimetumia uchawi kufundisha sitokuwa na dhambi.
In box majina yako 3 ndani ya 24hrs majibu utayaona
Sina uhakiki wowote au nimejifunza mambo ukubwani?Wewe hauna uhakiki wowote hakuna research uliyoifanya umejifunza mambo ukubwani usiwaaminishe watu uongo Nipe utafiti uliofanya ukaamini Mungu hayupo?
Mungu wako mwenye uwezo wote, anaweza kutoweza?Sifa ya uwezo ni kufanya hakuna afanyae anaweza kushindwa kuharibu
Kutokuamini hulka ya mwanadamu kutokuamini kwako hakuondoi ukweli uliopo
Ushamfananisha huyo mungu wako na roho.Sijamfananisha Mwenyezi Mungu na chochote maana Mungu ni roho ya utukufu isiyoonekana wala hafananishwi na chochote.
Maswari sijui ni kitu gani.Kiranga ulikimbia maswari
Unajuaje kwamba hachunguziki na si kwamba hayupo?Since kwamba ni sayansi... na science demands proofs... na proof zako ni za kusadikika... Mungu hachunguziki
KirangaMaswari sijui ni kitu gani.
Maswali sijawahi kuyakimbia JF hata siku moja. Naweza kuchelewa kujibu kwa kutoona thread au kutingwa na kazi. Najibu posts nyingi sana kwa siku inawezekana nyingine nisizione mara moja lakini eventually nazijibu.
Kama unataka kunichallenge, angalau jifunze spelling za Kiswahili.
Alafu "spelling za kiswahili" ndio nini?Maswari sijui ni kitu gani.
Maswali sijawahi kuyakimbia JF hata siku moja. Naweza kuchelewa kujibu kwa kutoona thread au kutingwa na kazi. Najibu posts nyingi sana kwa siku inawezekana nyingine nisizione mara moja lakini eventually nazijibu.
Kama unataka kunichallenge, angalau jifunze spelling za Kiswahili.
Mtoa mada umefika kidato cha ngapi?we kama huna kifaduro cha akili utakuwa una ajenda ya Siri.huwezi kufanya utafiti kwa miaka 16 kwa kutumia kitabu kimoja.tu.pia Wewe utakuwa unawazidi wanasayansi wote duniani kwa utafiti huo uliofanyaa.Jiandae KUINGIA Jahannam
Mkuu unaelewa nini kuhusu ulimwengu ulivyo umbwa ?Mtoa mada umefika kidato cha ngapi?we kama huna kifaduro cha akili utakuwa una ajenda ya Siri.huwezi kufanya utafiti kwa miaka 16 kwa kutumia kitabu kimoja.tu.pia Wewe utakuwa unawazidi wanasayansi wote duniani kwa utafiti huo uliofanyaa.Jiandae KUINGIA Jahannam
Mungu ana uwezo wote katika mlipuko (Big Bang) ambao inatuonyesha ulimwengu ulikuwepoMungu ana uwezo wote?
Mungu ana uwezo wote katika mlipuko (Big Bang) ambao inatuonyesha ulimwengu ulikuwepoMungu ana uwezo wote?
Duuu!Huja prove at any level.
Una force tu.
Kama mimi ninavyoweza kusema "Kichwa chako kimejaa mavi matupu".
Hilo linafanya kichwa chako kiwe kweli kimejaa mavi matupu?
Halafu hujui hata lugha unayotumia.
Ukiandika "I dont do nothing for free" that means you do everything for free.
Kama hujui hata kujieleza tu nitajuaje una akili za kutosha kujua kama mungu yupo au hayupo?
You are the proof that God does not exist. If he existed, he would not be so cruel as to create an imbecile like you.
Mkuu, Mawazo yako ni mazuri tatizo ni unavyofikili tofauti sio kosa lako siwezi kufaham nini ni kimewahi kukusibu mpaka ukaamini hivi!Sina uhakiki wowote au nimejifunza mambo ukubwani?
Hayo mawili yanapingana.
Mungubwenu hayupo kwa sababu anajipinga kama duara ambalo ni pembetatu hapo hapo katika Euclidean geometry.
Ushawahi kuona pembetatu ambayo hapo hapo ni duara?
Si Ku challenge ninakufundisha Bahati mbaya hutokea katika mambo mengi kama vile wazazi wanazaa mtoto asiye amini wao wame mzaa.Maswari sijui ni kitu gani.
Maswali sijawahi kuyakimbia JF hata siku moja. Naweza kuchelewa kujibu kwa kutoona thread au kutingwa na kazi. Najibu posts nyingi sana kwa siku inawezekana nyingine nisizione mara moja lakini eventually nazijibu.
Kama unataka kunichallenge, angalau jifunze spelling za Kiswahili.