Nafuatilia sana kampeni haswa za mgombea uraisi kwa CCM, nimeona ukweli was utafuti uliotoka na hitimisho kuwa Tanzania ni moja ya mataifa ambayo watu wake hawana furaha. Angalia:-
- Utaona watu wanaohudhuria mikutano ya mgombea wa CCM wengi hawashangalii, wananafanya mambo kwa kulazimishwa sana. Nguvu ya wasanii ndio inatumika sana kuchanlngamsha watu.
- Ukiangalia nyuso za wengi haswa kuanzia middle ground to back ground, ni kama wanashangaa tu, hawajui kwanini haswa wapo hapo. Na mara Fulani hijilazimisha furaha.
- Mara zota huwa namwangalia sana "Mama". Naye kiukweli yupo Kwa kujikaza sana. Mara nyingi ana huzuni. Hata " Baba" kamshiti hata kutambulishwa ikitokea ni kwa bahati.
Ni hayo machache. Ila tu kukosa furaha maana yake ni kukosa matumaini, ni kuwa gizani, ni kutojua kesho yako. Hii ndio hali halisi iliyopo sasa.
Tuombee sana Taifa letu Mungu asimame mwenyewe.
HAKI HUINUA TAIFA, BALI DHAMBI NI AIBU KWA WOTE.