Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maziwa ya ng'ombe wa nyumbani ni mazuri sana w/end hii kuliko wa mtaani au wa kununua kwa wale walioko kwenye position hiyo!!
sasa umejuaje kama ni mazuriBado sijajaaliwa kuwa nayo,siku nikipata nitakunywa hayo tu!
Kuthamini ulichoapa kwenye nyumba ya ibada ni jambo la maana,nimekuwa nikijiambia kuwa na kujiaminisha nikijakuoa au kupata mpenzi ndo ukweli huo kuwa hakutakuwa na aliye bora kuliko yeye na nitajivunia kuwa nae,ndo maana nimewakumbusha hayo waliopata tayari,kama name unae ni bora ukamconsider hivyo!sasa umejuaje kama ni mazuri