TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Walipofika wao walikuwa wana Biblia, sisi tulikuwa na ardhi. Wakatuambia tufumbe macho na tusali.
Tulipomaliza kusali na kufumbua macho, wao walikuwa na ardhi, sisi tuna Biblia.
Wakatuambia "msiue". Lakini wao waliua zaidi ya ndugu zetu milioni 8.
Tena wakatuambia "msiibe". Huku wao wakishindana kuiba mali na utajiri wetu tuliokuwa nao kwenye ardhi.
Kisha wakatuambie eti tusitamani mwanamke asiyekuwa mke wetu. Huku wao wakipishana vichochoroni kubaka wanawake wetu.
Wakaendelea kutupanga tusiwe tunasema uwongo, wakati wao kucha kutwa wanatudanganya na kututapeli tena wakiwa wamevaa misalaba shingoni huku wakiyataja majina waliyotuambia ni matakatifu.
MWAFRIKA JITAFAKARI.