Ulaji bora

henry kilenga

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
1,329
Reaction score
1,117
Jamii inanenepa "Kila Kukicha Inanenepa" Hata watoto wadogo wananenepa, Wanavitambi, Tuseme kwamba kama baba na mama ni mlafi na mvivu wa mazoezi watoto pia ni "WALAFI NA WAVIVU"?

Je Kitambi Cha Utotoni Tutakitibu Kwa "Kuwapeleka Gym kama Baba na Mama? Je kitambi cha Utoto Tutawatibu vipi ulafi wao kama ni kisababishi cha wao kuwa na kitambi?"

Kama Unachanganyikiwa tambua kwamba "Ulafi na uvivu wa mazoezi Sio sababu ya mlipuko wa vitambi kiasi hiki"

Jamii Inanenepa, na Tukiendelea Kulaumiana kuwa ni "Ulafi na uvivu" Itaendelea kunenepa kila siku!

[HASHTAG]#Takwimu[/HASHTAG] Hazidanganyi, Kuna jamaa yangu amesema Leo kwamba

"Uongo Ukiachwa ukatawala,huwa unakuja kuchukuliwa kama ukweli" Hapa tulipo "Tiba ya Kitambi Bado Hatuijui ndio maana jamii Inanenepa kila kukicha"

[HASHTAG]#Share[/HASHTAG] kama Unaamini Kitambi bado Ni Changamoto wengi wetu, Tunakichukulia Poa lakini ni Mpasuko mkubwa sana katika Afya yako!

By the Numbers: Tenfold Increase in Childhood Obesity Since 1975

By Dr Boaz mkumbo
 
Tujifunze kula milo sahihi/kamili kwa ajili ya miili yetu..Kupumzika na mazoezi tusisahau
 
Aiseee!! Kula vitu vya ajabu: mayai na mikuku ya kisasa kupita kiasi, kutokunywa maji ya kutosha, bia na nyama choma, supu/mtori chapati 3 MTU ni customer care tu, watoto anapewa uji una nafaka 7: km vile mchele, mahindi ulezi, ngano, soya, uwele na Karanga.!!
Watoto hawana limit/kiasi/kipimo cha chakula!!! Sasa kwanini wasinenepe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…