Ulaji wa chakula aina ya chipsi kwa wanaume husababisha upungufu wa nguvu za kiume.Taarifa hii nimeipata Mlimani tv nilipokuwa naangalia kipindi cha Jarida la habari,hivyo wanaume wanashauliwa kutopendelea kula chipsi,pia ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi huweza pia kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.Wanaume tuwe makini ili kuepukana na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume.
Hao watu hawajafikisha ujumbe ipasavyo,..
wametoa ujumbe nusu,nusu wameacha kwa ajili ya watu kuangamia!
Tatizo sio kula vyakula vyenye mafuta,tatizo ni wewe mwenyewe kuruhusu mafuta yajae mwilini!
Unakula chips mayai afu unaenda kulala,..
unakula kitimoto unarudi kwenye kiti cha kunesa nesa ofisini,..
NOPE
Wanaume tuache uzembe,TUFANYE MAZOEZI YA VIUNGO!
Kula chips kibao,kula kitimoto utakavyo,..
ila,.kumbuka kufanya mazoezi,choma calories mwilini,..sio kuzitunza utaliwa mkeo!
piaaaaaa,...wengi wetu hatuli mboga za majani,..matatizo hayo!
Ukiwa mwana mazoezi utagundua na variety ya mazoezi mbali mbali,..
kila kiungo kina mazoezi yake,hakuna haja ya kuacha kula kitu ili "utunze" nguvu zako!
Wazungu wanasema:
What makes a man in bed is the number of reps he make,not the number of calories he has!