Ulaji huu wa Maembe waishangaza Ikulu

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Katika Jambo la kustajabisha Meza Za viongozi na wachezaji wa Yanga Maembe yaliliwa kama inavyoonekana hapao Chini.

Ama kweri hii timu ina Njaa kali, that is why preseason wanaishiaga mjimwema.

Kiufupi wafanyakazi wa Ikulu wamesikitika kwerikweri wakaongeza kusema ndo Maana feitoto kagoma kuchezea hii timu.

 
 
Hawa ni Wanamazingira ambao hawaki kitu chochote kipotee.

Unajua kwamba embe yenyewe ni kijani na njano na ikirudi kwa nwanayanga inaruudi nyumbani?
 
Hata madu hawana cha kufyonza [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du! Utani mwingine bana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…