Kampuni ya Juwawa Tanzania Company inayojihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji inatafuta wataalamu wa ubunifu wa kutengeneza logo itakayokuwa inatumiwa katika shughuli mbalimbali.
NAFASI iko wazi kwa watu wote. Logo 10 bora zitachaguliwa ambapo kati ya hizo logo tatu bora zitashindanishwa kupata moja itakayotumiwa na kampuni.
Zawadi nono kwa washindi watatu itatolewa.
Kwa wale watakaopenda kushiriki wawasiliane kwa ujumbe mfupi kupitia;
mtweves@gmail.com