Ulaji kwa Graphics Designers

Mwanamene

Member
Joined
Apr 4, 2008
Posts
9
Reaction score
0
Kampuni ya Juwawa Tanzania Company inayojihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji inatafuta wataalamu wa ubunifu wa kutengeneza logo itakayokuwa inatumiwa katika shughuli mbalimbali.

NAFASI iko wazi kwa watu wote. Logo 10 bora zitachaguliwa ambapo kati ya hizo logo tatu bora zitashindanishwa kupata moja itakayotumiwa na kampuni.

Zawadi nono kwa washindi watatu itatolewa.

Kwa wale watakaopenda kushiriki wawasiliane kwa ujumbe mfupi kupitia;

mtweves@gmail.com
 
Mnataka logo za bure nyie!!!
 
With reference to Article 18 of the Constitution of the United Republic of Tanzania (1977), every opinion is received,taken and perceived positively.
Mnataka logo za bure nyie!!!
 
tunakuja lakini zangu mim ziko na copyright protection na user agreements clauses ziko so kama mtaziselect mtakua mnanilipa..percent flani each and every month for the whole duration ambayo mtakua mnatumia..sasa hivi unaaaa unaaaaa tuuuuu
 
Karibu sana, about those terms and conditions, doors are open for discussion via our Lawyers and Legal advisers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…