ulaji wa chakula kwa afya

van penga

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
74
Reaction score
4
habari ndugu zangu....nimekuwa nikiongezeka uzito kwa haraka na kwa muda mfupi...nahisi kuna tatizo katika ulaji wangu naombeni msaada wa jinsi ya kupangilia vyakula na njia nyingine yoyote mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…