Ulaji wa chips umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu

Chips mayai ilivyo tamu jamani. Acha tufe tu.
Mi nachoka wapi ujue almost kila kitu ni sumu, soda, bia, wine, chips, kugegedana, halafu vyote vitamu sasa! Daah

Acha tufe tuu, coz hakuna ambae hatakufa!
 
Mi nachoka wapi ujue .....almost kila kitu ni simu, soda, bia, wine, chips, kugegedana, halafu vyote vitamu sasa! Daah

Acha tufe tuu, coz hakuna ambae hatakufa!
Ukiuliza unaweza kuambiwa madhara hayo ni mpaka uwe unakula chips sahani tano kila siku!
 
Ulaji wa chips ndio chanzo cha janga la wanaume kupungukiwa na nguvu za kiumeni.
 
Hizi takwimu za kuunga unga hufanya hata taarifa yenyewe kukosa nguvu ya ushawishi kwa watu.
 
Mjini watu tunabana gharama za kwenda chooni ukila chips huwezi kwenda chooni ndani ya siku 2.
 
We unaharibu biashara za watu,
Unataka watu wasiende KFC.
Unataka watu wasipate mademu kwa kuwanunulia chips kuku na soda.... [emoji1] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…