Sidhani kama kuna dawa zaidi ya wewe kufanya MAAMUZI MAZITO na kusema sasa bhaaaasi.Jinsi mwili unavyouzoesha ndivyo unafuata.. Anza tabia ya kufunga na kujinyima. Pia unaweza badili ratiba yako ya mlo..badala ya milo 3 mikubwa kula hata 6 Lkn in small portions..Pia anza kubagua chakula..badala ya chips kuku tumia ugali dona na protini..badala ya soda kula matunda au juice original.. asubuhi pendelea viaz au ndiz badal ya vitumbua na chapati..otherwise google mambo ya nutrition na jinsi ya kujinyima chakula in a healthy way utapata mambo kibao ya kukusaidia