Hii yako inakula vizuri sana.Wadau na wataalamu wa Magari naombeni ushauri gari yangu ninapowasha AC inatumia mafuta mengi sana.
Kwa mfano nisipowasha AC ninaweza tembea 12km/L mpaka 13km/l hapa mjini,Lakini nikiwasha AC naishia 8KM/L. Gari ni 1490CC Toyota Premio F.
Nilibadilisha Plug lakini bado.Gari bado ni mpya ndio kwanza imetea KM 43000.
Mkuu sikuhizi sikuoni, ile chuma EDE umeiuza?Huo ulaji wa 8 km/L unafanana na BMW 323i yenye cc 2500 tena cylinder 6.
Hapo unatakiwa ufanye service. Kwa kuanza umebadirisha oil na ATF kisha, presha ya matairi, angalia air filter. Oxygen sensor, umebadirisha plugs lakini umecheki coils? Kapime fuel pressure pia inaweza, cheki MAP sensor, fuel pump, na mechanical issues zingine kama breki, wheel balance etc
Kwahiyo lazima ufanye OBD 2 diagnosis kwanza wengi wanafanya bure uzuri. All the best man.
Ni mjerumani gani huyuHii yako inakula vizuri sana.
Nina mjerumani Cc2000 anakula 5Km/L kwenda kazini na kurudi ni 18km.
Ili niende kazini kila siku na gari basi ni mafuta ya 20k
Boss kwemaHii yako inakula vizuri sana.
Nina mjerumani Cc2000 anakula 5Km/L kwenda kazini na kurudi ni 18km.
Ili niende kazini kila siku na gari basi ni mafuta ya 20k
Wadau na wataalamu wa Magari naombeni ushauri gari yangu ninapowasha AC inatumia mafuta mengi sana.
Kwa mfano nisipowasha AC ninaweza tembea 12km/L mpaka 13km/l hapa mjini,Lakini nikiwasha AC naishia 8KM/L. Gari ni 1490CC Toyota Premio F.
Nilibadilisha Plug lakini bado.Gari bado ni mpya ndio kwanza imetea KM 43000.
Hii niliagiza mkuu,niliipata ikiwa na 20000kmGari umeagiza au umemvua Mtu?
Anyway hapo kuna kitu hakiko sawa Boss,nina Premio X ya 1.7L ile ya Engine ya 2ZR highway napata 17km per L na Town trip napata 14km per L hadi 13 na niliipokea ikiwa na 72km.
Kuna mwamba ana chuma ya hizo cc na bado kafunga mtungi wa gesi! Levels [emoji3]Muwe mnanunua gari za cc 990 to 1290, huwezi kuona hawa watu wakilalamika mafuta.
Boss kwema
Shida nini hapa gari haiwaki inaleta hizi taa hata usipoweka funguo
Toyota ist 2nz
Kwamba km 23k ndo ilete hayo Manjegeka kaka.Hii niliagiza mkuu,niliipata ikiwa na 20000km
Sijajua mkuuBoss kwema
Shida nini hapa gari haiwaki inaleta hizi taa hata usipoweka funguo
Toyota ist 2nz
nmesafisha negative zinazounga kwenye body, taa zote hzo mbili zmetoka na gari imewaka.Sijajua mkuu