Bpk
Member
- Jun 28, 2018
- 43
- 15
Nina Vitz ya mwaka 2000 yenye CC 990 nilichukua kwa mtu ilikuwa inatumia lita 1 ya mafuta kwa KM 5 nikapeleka kwa fundi gasket ilikuwa inavujisha oil inapeleka kwenye plug nikaweka mpya sasa hivi inakula lita 1 kwa KM 8. Wakati kwa watu wengine wenye Vitz kama yangu ni 1lita kwa KM 12 kwenda juu hapo tatizo litakuwa ni nini? Ukizingatia gari bado ni mpya ina mwaka 1 tangu iingie Tanzania.