Shukurani sana hapo vitu vya kuangalia ni kama nnLita moja kwa kilometers 8 kwa gari yenye engine ndogo kama vits hilo gari majanga. Mimi naendesha Mercedes Benz 2500cc lita moja ni kilometa 9 hadi 10 kutegemeana na uendeshaji!
Mwambie fundi arekebishe zaidi mpaka lita 1 kwa kilometer 15!
Sijui Engine system ya hiyo vitz. Inaweza kuwa ni "timing ya ignition system" ya piston ina lag some microsecond late!Shukurani sana hapo vitu vya kuangalia ni kama nn
Ikiwa kumbukumbu zangu ziko sawa ni 19km/LSasa wakuu hizi vits cc 990 zinakula 1ltr kwa kilometa ngapi?
Speed ngapi almost unakwenda maana naskia stori za mtaani kuwa spidi isizidi 100 Kama ni Safari ndefu na angalau km 300 unakaweka kushoto kapoe je kuna ukweli wowote hapo mkuu?Vits 990 ulitakiwa ikupe 17km kwa lt. Mi nna passo 990 3pistin huwanaweka wese la 120000 natoboa dar mwanza