Ulaji wa mafuta Toyota Vitz

Bpk

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
43
Reaction score
15
Nina gari aina ya Toyota Vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 ulaji wake wa mafuta ni km 9 kwa litre 1.

Wakati kwa wengine inakula 12km kwa litre. Kwangu tatizo litakuwa ni nini wadau.
 
Vits ya cc 990 vvti ikiwa highway unaweza ukadhani haitumii kabisa mafuta! kiufupi huwa inanusa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…