Nina jamaa yangu amenunua gari aina ya IST hivi karibuni, Ile alikuwa analalamika inatumia mafuta mengi km 8 kwa Lita 1, kuna siku alinipa ile gari naitumia ilitumia 1ltr kwa 15km.
Nilichogundua ni kwamba yeye speed kubwa sana kwake ni km 40 kwa saa, inakuaje inatumia mafuta mengi ikiendeshwa kwa speed ndogo?