Ulaji wa mafuta wa Crown v6 2.5l 12km/l

ili neno "kwahiyo" wanaopenda kutumia wengi ni watu wasio jiamini na duniani kuna kiumbe mmoja tu ambaye hajiamini ambaye ni ha ha ha ha ladies and gentlemen
You are still young
 
ili neno "kwahiyo" wanaopenda kutumia wengi ni watu wasio jiamini na duniani kuna kiumbe mmoja tu ambaye hajiamini ambaye ni ha ha ha ha ladies and gentlemen
Kwahiyo unashangaa nini? Na hili ni jukwaa la nini?
 
Mkuu,ni kweli kabisa. Verossa,Brevis,Crown,Mark X,Grande Mark II,Harrier VVTi 2362 cc,Rav4 VVTi 2362 CC,zote hizo range ya matumizi ya mafuta ni kilometa 6.4-7.0 tu kwa lita. Tena magari mengine inasoma hapo,6-6.8 kwenda7
 
Mkuu ulaji wa mafuta kwa Gari una factor nyingi.. Ila kwa haraka haraka tu hiyo 12km/l wanaongelea uendeshaji kwenye safari ndefu na sio mjini/kwenye foleni ambapo Mara nyingi unatembelea Gia ndogo.. Kama unendeshea Dar ulaji wa crown unacheza kati ya 6.5-8km/l ambacho ni kawaida kabisa kwa Gari nyingi.. Mfano GX 110 grand kwa uendeshaji wa hapa mjini inatumika 7-8km/l ila ukisafiria safari ndefu inatumika 12-13km/l.
 
Lakini tukumbuke ulaji wa wastani ni 8km/l kwa magari mengi ambapo nadhani hata hio crown kama inakula sana wese haitoshuka chini ya hapo.
Crown ulaji wake wa town trip ukicheki autodata.net imeandikwa ni 7.87km/l wabongo wengi wapo rough kwenye acceleration yani mtu anataka kuvuka taa za karume anakanyaga mafuta rpm inafika mpaka kwenye 4, kwanza hii gari ukibadili setting inakuonesha ulaji wake wa mafuta i.e 8.5km/l pia inakuonesha kwa mafuta yaliopo kwenye tank gari inatembea km ngapi Mungu akisaidia huyu mnyama mweusi lazima niwe nae
 
Tatizo lingine ni pale mtu ananunua gari anataka aweke mafuta ya 10,000-20,000 halafu atembee nalo wiki nzima au kilomita zaidi ya 100 A/C ipo on revs za 3-4 rpm hapo lazima aulize kuhusu ulaji wa mafuta bila shaka
 
Aisee fanya kweli bablai, mie najipanga mdo mdo ila tutafika tu huko.

Tatizo lingine ni pale mtu ananunua gari anataka aweke mafuta ya 10,000-20,000 halafu atembee nalo wiki nzima au kilomita zaidi ya 100 A/C ipo on revs za 3-4 rpm hapo lazima aulize kuhusu ulaji wa mafuta bila shaka
wanayumba
 
Bila shaka wewe ulikimbia umande
 
Mimi huwa naamini kila gari ina watu wake ambao wanaweza imiliki. Kila mtu amiliki gari kulingana na mfuko wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…