Habar wana jf kitaalamu hii imekaaje kula mchanganyko wa matunda kwa mda mmoja kiafya in vzr au mbaya mfano unakuta sahan ina tkt,embe,papai,parachich,tango,chungwa