Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
"صَلُّوا فِي مَرَابِضِ الْغَنَمِ، وَلَا تُصَلُّوا فِي مَعَاطِنِ الْإِبِلِ."عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم:
"فَإِنَّهَا خُلِقَتْ مِنَ الشَّيْطَانِ، وَإِنَّ مَعَهَا قِرْنًا مِنَ الشَّيْطَانِ."
Waislam wakila nyama ya ngamia inabidi wakatawadhe. Ipo hadith inasisitiza hilo.Sunan Abi Dawood (Kitabu cha Sala, Hadith Na. 184)
Matn ya hadithi ni kama hivi:
"صَلُّوا فِي مَرَابِضِ الْغَنَمِ، وَلَا تُصَلُّوا فِي مَعَاطِنِ الْإِبِلِ."
Tafsiri ya maneno:
"Salini katika mazizi ya mbuzi, na msiswali katika mazizi ya ngamia."
---
Kisha kuna riwaya nyingine katika Musnad Ahmad ambayo inasema hivi:
Tafsiri:
"(Mazizi ya ngamia) kwa hakika yameumbwa kutokana na shetani, na hakika ngamia ana pembe kutoka kwa shetani."
"Na katika ngamia, wanyama wa ngozi laini na wanyama wa kunyonya, tuna wapa baadhi ya vyakula..."Sunan Abi Dawood (Kitabu cha Sala, Hadith Na. 184)
Matn ya hadithi ni kama hivi:
"صَلُّوا فِي مَرَابِضِ الْغَنَمِ، وَلَا تُصَلُّوا فِي مَعَاطِنِ الْإِبِلِ."
Tafsiri ya maneno:
"Salini katika mazizi ya mbuzi, na msiswali katika mazizi ya ngamia."
---
Kisha kuna riwaya nyingine katika Musnad Ahmad ambayo inasema hivi:
Tafsiri:
"(Mazizi ya ngamia) kwa hakika yameumbwa kutokana na shetani, na hakika ngamia ana pembe kutoka kwa shetani."
Sunan Abi Dawood (Kitabu cha Sala, Hadith Na. 184)"Na katika ngamia, wanyama wa ngozi laini na wanyama wa kunyonya, tuna wapa baadhi ya vyakula..."
(Qur'an, An-Nahl 16:5–7)
Na Hadith: Mtume Muhammad (SAW) alikula nyama ya ngamia na hata alipendekeza waislamu kutumia maziwa yake kwa tiba.
Katika Sahih Muslim, kuna hadithi maarufu kuhusu watu waliokuwa na maradhi Madina, Mtume aliwaamuru wakanywe maziwa na mikojo ya ngamia kama tiba (Sahih Muslim, Hadith 1671).
"صَلُّوا فِي مَرَابِضِ الْغَنَمِ، وَلَا تُصَلُّوا فِي مَعَاطِنِ الْإِبِلِ."عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم:
"فَإِنَّهَا خُلِقَتْ مِنَ الشَّيْطَانِ، وَإِنَّ مَعَهَا قِرْنًا مِنَ الشَّيْطَانِ."
Matn ya Hadithi:Sunan Abi Dawood (Kitabu cha Sala, Hadith Na. 184)
Matn ya hadithi ni kama hivi:
"صَلُّوا فِي مَرَابِضِ الْغَنَمِ، وَلَا تُصَلُّوا فِي مَعَاطِنِ الْإِبِلِ."
Tafsiri ya maneno:
"Salini katika mazizi ya mbuzi, na msiswali katika mazizi ya ngamia."
---
Kisha kuna riwaya nyingine katika Musnad Ahmad ambayo inasema hivi:
Tafsiri:
"(Mazizi ya ngamia) kwa hakika yameumbwa kutokana na shetani, na hakika ngamia ana pembe kutoka kwa shetani."
"صلوا في مرابض الغنم، وباركوا فيها، ولا تصلوا في أعطان الإبل، فإنها خلقت من الشياطين."عن عبد الله بن مغفل رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) amesema:Kutoka kwa Abdullah bin Mughaffal (RA) amesema:
"Hakika ngamia ana pembe kutoka kwa shetani."
Sasa huo ukharamu wa kula ngamia katika hadithi hizi uko wapi?Sunan Abi Dawood (Kitabu cha Sala, Hadith Na. 184)
Matn ya hadithi ni kama hivi:
"صَلُّوا فِي مَرَابِضِ الْغَنَمِ، وَلَا تُصَلُّوا فِي مَعَاطِنِ الْإِبِلِ."
Tafsiri ya maneno:
"Salini katika mazizi ya mbuzi, na msiswali katika mazizi ya ngamia."
---
Kisha kuna riwaya nyingine katika Musnad Ahmad ambayo inasema hivi:
Tafsiri:
"(Mazizi ya ngamia) kwa hakika yameumbwa kutokana na shetani, na hakika ngamia ana pembe kutoka kwa shetani."
Kama ameumbwa kwa mkojo wa shetani unaona ni sawa kumla?Sasa huo ukharamu wa kula ngamia katika hadithi hizi uko wapi?
Na mkojo wa ngamia alisema mnywe. Uwe unaleta hadith zote siyo unachagua chagua tu unazotaka wewe."Na katika ngamia, wanyama wa ngozi laini na wanyama wa kunyonya, tuna wapa baadhi ya vyakula..."
(Qur'an, An-Nahl 16:5–7)
Na Hadith: Mtume Muhammad (SAW) alikula nyama ya ngamia na hata alipendekeza waislamu kutumia maziwa yake kwa tiba.
Katika Sahih Muslim, kuna hadithi maarufu kuhusu watu waliokuwa na maradhi Madina, Mtume aliwaamuru wakanywe maziwa na mikojo ya ngamia kama tiba (Sahih Muslim, Hadith 1671).
Tatizo liko wapi?mbona wakiristo wamekatazwa kula nguruwe ktk biblia lkn wanakulaNa mkojo wa ngamia alisema mnywe. Uwe unaleta hadith zote siyo unachagua chagua tu unazotaka wewe.
Vipi kuhusu kutawadha baada ya kula ngamia?
Acha kutuchanganya bwanaSunan Abi Dawood (Kitabu cha Sala, Hadith Na. 184)
Matn ya hadithi ni kama hivi:
"صَلُّوا فِي مَرَابِضِ الْغَنَمِ، وَلَا تُصَلُّوا فِي مَعَاطِنِ الْإِبِلِ."
Tafsiri ya maneno:
"Salini katika mazizi ya mbuzi, na msiswali katika mazizi ya ngamia."
---
Kisha kuna riwaya nyingine katika Musnad Ahmad ambayo inasema hivi:
Tafsiri:
"(Mazizi ya ngamia) kwa hakika yameumbwa kutokana na shetani, na hakika ngamia ana pembe kutoka kwa shetani."
Hata wanasayansi wamethibitisha ubora wa mkojo wa ngamiawaislamu wameambiwa na mtume wakiumwa wanywe mkojo wa ngamia ni dawa
1. Utafiti wa mwaka 2012 - Saudi Arabiawaislamu wameambiwa na mtume wakiumwa wanywe mkojo wa ngamia ni dawa
"Antimicrobial activity of camel’s urine against pathogenic bacteria"
"Evaluation of the anticancer activity of camel urine on human cancer cells"
By comparison sio 😁Tatizo liko wapi?mbona wakiristo wamekatazwa kula nguruwe ktk biblia lkn wanakula
Mnajichanganya wenyewe sababu ni maboya.Acha kutuchanganya bwana