Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
-
- #21
Hakuna sehemu wakristo wamekatazwa kula Nguruwe katika Biblia. Nioneshe mstari huo kwa ajili ya Wakristo. Kumbuka mimi ni Msomi siyo MAAMUMA kama wewe.Tatizo liko wapi?mbona wakiristo wamekatazwa kula nguruwe ktk biblia lkn wanakula
Kumbe unakubali ngamia ni haram na ukisha kula inakupasa ukatawadhe.Tatizo liko wapi?mbona wakiristo wamekatazwa kula nguruwe ktk biblia lkn wanakula
Kwakwambia nani kama ngamia haramu? Andiko gani hilo? Liweke hapaKumbe unakubali ngamia ni haram na ukisha kula inakupasa ukatawadhe.
Sasa lete hadith inayosema ukimaliza kula nguruwe ukatawadhe, ukileta mimi naleta inayosema ukimaliza kula ngamia ukatawadhe.
Walawi 11:7–8 (Biblia Takatifu, Union Version):Hakuna sehemu wakristo wamekatazwa kula Nguruwe katika Biblia. Nioneshe mstari huo kwa ajili ya Wakristo. Kumbuka mimi ni Msomi siyo MAAMUMA kama wewe.
8 Katika nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."7 "Tena nguruwe, kwa kuwa ana kwato, na kwato zake zimegawanyika, lakini hamng'oi cudzi; yeye ni najisi kwenu.
Ndiyo maana huwa mnakaririshwa tu kama kasuku. Haya pata dawa hiyo:Kwakwambia nani kama ngamia haramu? Andiko gani hilo? Liweke hapa
Camel meat is full of gas causing pollution every time (puuuuun,psiii) that why they're advised to take "udhu". It's not illegal to eat camel meat.Waislam wakila nyama ya ngamia inabidi wakatawadhe. Ipo hadith inasisitiza hilo.
Ngamia ni haram kuliko nguruwe
Walawi 11:7–8 (Biblia Takatifu, Union Version):
8 Katika nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."
Umesahau na Mkojo wa Ngamia, mtume alisisitiza pia"Na katika ngamia, wanyama wa ngozi laini na wanyama wa kunyonya, tuna wapa baadhi ya vyakula..."
(Qur'an, An-Nahl 16:5–7)
Na Hadith: Mtume Muhammad (SAW) alikula nyama ya ngamia na hata alipendekeza waislamu kutumia maziwa yake kwa tiba.
Katika Sahih Muslim, kuna hadithi maarufu kuhusu watu waliokuwa na maradhi Madina, Mtume aliwaamuru wakanywe maziwa na mikojo ya ngamia kama tiba (Sahih Muslim, Hadith 1671).
Sasa walawi na Wakristo walikuwepo wakati huo? Dogo wewe maamuma. Walikatazwa walawi. Wayahudi wa miaka hiyo na sheria zilikuwa kali miaka hiyo.Walawi 11:7–8 (Biblia Takatifu, Union Version):
8 Katika nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."
Kwa kawaida kwenye Uislamu vitu vinabaki kuwa halali kula mpaka pale itakapooneshwa kwenye Quran au sunna au vyote viwili kuwa ni haramu kula. Hoja yangu ni kwamba sijaona katazo la kula nyama ya ngamia katika Uislamu kupitia vyanzo hivyo viwili na kwa hivyo inabaki kuwa nyama ya ngamia ni halali kuila.Kama ameumbwa kwa mkojo wa shetani unaona ni sawa kumla?