Ulaji wa vyakula vyepesi ni tatizo kwa vijana

Ulaji wa vyakula vyepesi ni tatizo kwa vijana

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
Kama hali itaendelea hivi kizazi hiki hasa vijana wengi wa kiume hasa wa mjini watakabiliwa na tatizo kubwa la nguvu za kiume kwa kukosa lishe!

Katika utafiti wangu, nimegundua kuwa vijana wengi wanashindia na kulalia chips kuku au mayai, hasa ya kisasa! Kwa ulaji huu matokeo yake kijana wa kiume akifikisha miaka 40 chali, hajiwezi tena!
 
Kuwalaumu vijana bila kuangalia uhalisia sio sawa.

Ugumu wa maisha umewafanya vijana wengi kuwa daywaka. Hawezi kuwa na budget ya chakula kizuri. Atakachokipata jioni ndio halali yake siku hiyo.

Ukienda sokoni vitu bei juu?

Ni haki kweli kuwalaumu vijana? Kwann usiwalaumu ccm kwa kuharibu vijana?
 
Asa nikwambie kitu kiongozi!chips mayai ni ghali zaidi ya chakula alacho daywaka!chips mayai si chini ya sh2000 wakati daywaka wengi wanakula kwa mama lishe!kwa mama lishe chakula bei yake,wali/ugali nyama una mboga za majani kidogo na wkt mwingine unapata na kipande cha tunda la msimu la wakati huo bei yake ni 1000 mpaka 1500 halafu anakunywa na maji mengi!Mla chips mayai/kuku ataweka tomato sosi,chill sosi halafu anashushia na soda barrrdiiiii!
 
Umesahau kwa mama ntilie kuna hamira pia....

Chakula bora kamwe hakipo kwa mama ntilie. Ni kile unachopika mwenyewe au kupikiwa nyumbani. Chapaswa kiwe ni mlo kamili.

WANGA kiasi (ugali, chipsi, chapati, wali, maandazi, n.k.), MBOGAMBOGA(mchicha, spinachi, nyanya, karoti, vitunguu, boga, n.k.), NYAMA kiasi/jamii za MAHARAGE/MAYAI (moja kienyeji kila siku), matunda, MBEGUMBEGU(za boga, karanga, korosho, ubuyu, ufuta, n.k.), VIUNGO (hiliki, nazi, tangawizi, n.k.), MAFUTA mazuri (alizeti, mawese, ya karanga, siagi kiasi, samli, n.k.), MAZIWA (hasa mtindi kwa watu wazima, jibini, n.k.)....

Sasa huo mkusanyiko ni lazima uupate kila siku japo si kila aina kwa wakati mmoja. Ila matunda, wanga, protini na mbogamboga ni kila ulapo.

Chipsi zege na kachumbari ina virutubisho vingi kuliko alae ugali nyama. Anachokosea mla chipsi ni kutumia soda badala ya mtindi na yai kisasa badala ya kienyeji.

Usijumuishe tu kua chipsi yai inaharibu vijana.......
 
U have a point,chakula bora huandaliwa nyumbani pekee,si kwa baba/mama lishe,sio steers wala kfc!Nimesema chips yai coz nmefanya kautafiti kadogo kwa watu wangu wa karibu,ndugu na marafiki!Nimegundua mlo wao kwa wiki nzima umetawaliwa zaidi na chips yai/kuku
 
Kuwalaumu vijana bila kuangalia uhalisia sio sawa.

Ugumu wa maisha umewafanya vijana wengi kuwa daywaka. Hawezi kuwa na budget ya chakula kizuri. Atakachokipata jioni ndio halali yake siku hiyo.

Ukienda sokoni vitu bei juu?

Ni haki kweli kuwalaumu vijana? Kwann usiwalaumu ccm kwa kuharibu vijana?

Tena Hao Vijana Wadeiwaka Wanapiga Kaz Ngumu Malipo Kidogo
 
U have a point,chakula bora huandaliwa nyumbani pekee,si kwa baba/mama lishe,sio steers wala kfc!Nimesema chips yai coz nmefanya kautafiti kadogo kwa watu wangu wa karibu,ndugu na marafiki!Nimegundua mlo wao kwa wiki nzima umetawaliwa zaidi na chips yai/kuku

washauri wapate na aina zingine za makundi vyakula mara kwa mara ili wawe wamekula milo kamili yenye virutubisho muhimu
 
washauri wapate na aina zingine za makundi vyakula mara kwa mara ili wawe wamekula milo kamili yenye virutubisho muhimu

Nawashauri lakini inaonekana chips yai/kuu ni tamu kuliko ugali wa dona na mboga za majani!
 
kinachofanya chips iwe hatari kwa afya ni mafuta wanayokaangia yakichemka sana yanatengeneza sumu, kile kiazi pia katika kukaanga kinaweza kuungua na kutengeneza carbon.

pia mayai,mtu anayekula mayai kila siku huyo anajitakia matatizo tu. kwa wiki ukila mayai matatu inatosha sana tena yakuchemshwa si kukaanga...
 
Siyo hivyo tu bali mafuta yale yale yanatumika tena na tena. Ni hatari sana. Huko mbele ya safari arteries zinakuwa clogged na mtu unaanguka bafuni heart attack wanaanza kusema umetupiwa jini...
 
Xx unawalaumu vijana wakati ndio uhalisia alivyo km kijana kipato chake ni 5000 kwa siku unategemea atakula nn km co hivyo
 
Ingawa kula kiepe ni kama kula makapi yasiyo na virutubisho vinavyohitajika mwilini....pia inategemea vijana wanakaa eneo gani...mwili unahitaji wanga, mafuta, proteins, vitamins madini. Kwa kiwango chake kwa siku.

Ni vitu ambavyo vinapatikana kwa kula either ugali, wali, mihogo, mikate mandazi, maharage kachumbali, samaki kuku pweza mayai kongoro michemsho mboga za majani kama.chainiz, maziwa juice matunda.

Vyote hivi vipo uswahilini kwa low price...bei inapanda kadri unavyosogea daraja ya juu
 
Sidhani kama kula vyakula muafaka ni gharama, by the way vyakula vyepesi ndio vyenye gharama kubwa (unaweza kuangalia KFC au Bestbite kwa wale wa Dar mnaelewa hizi sehemu). Huhitaji gharama kubwa wakati mwingine kupata mahindi yasiyokobolewa na peleka mashine mwenyewe, au nunua unga wa dona kama sio wa muhogo, maharagwe kwa wingi, matembele na mboga za majani hasa. Tumia matunda kwa wingi, ukipata mchemsho mchemso huwa pia inasaidia. Nimalizie tu kwa kusema, tafuta mronge (mbegu zake tafuna 2-3 x 3 na majani yake unga kwenye maji moto na au kamua upate juice unywe.
Mind you, watu wa zamani kama Adam na kizazi kilichofuatia waliishi miaka mingi lukuki kwa sababu walikuwa wanakula vyakula asili (matunda, mizizi, mboga mboga)
 
Back
Top Bottom