Katika msimu wa kilimo wa mwaka huu kumekuwapo na ulanguzi wa mbolea ya ruzuku.
Mfano hai ulanguzi huu unafanyika katika Mtaa wa Lumumba hapa Mwanza ambapo mbolea ya kilo 50 ya CAN na UREA bei ya ulanguzi ni Tshs.130,000 mpaka 150,000 ambapo bei halisi ni Tshs. 70,000. Tujiulize hawa walanguzi wanapataje mbolea hii kwa kuiuza kwa bei ya ulanguzi?
Mhe. Mpina anapowakosoa mnaanza kumchukia. Hoja ya Mpina ilikuwa hoja yenye mashiko lakini katika majibu ya Mhe. Waziri wa Fedha na Kilimo ni dhahiri ni majibu ambayo hayajengi. Mjibuni kwa hoja na siyo majibu yasiyo na hoja.